kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Hapo ndio ujue januari mambo yake ni ya kisanii na fix nyingi. Leo ukienda huku jf habari kuhusu yeye na bodi na management aliyoweka tanesco kutumbuliwa kwa kushindwa kuwapatia wananchi umeme hazifungukišš¤£š. Yote ni mtu wa dili maneno matupu na tamaa ya uongozi huku matokeo ni sifuri. Hatujui kama bado ana mpango mkubwa kuongoza nchi. Tujihadhari na watu wenye tamaa kuongoza huku hawasaidii shida za wananchi.