Huku jf uzi kuhusu januari hazifunguki.

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Hapo ndio ujue januari mambo yake ni ya kisanii na fix nyingi. Leo ukienda huku jf habari kuhusu yeye na bodi na management aliyoweka tanesco kutumbuliwa kwa kushindwa kuwapatia wananchi umeme hazifunguki😂🤣😂. Yote ni mtu wa dili maneno matupu na tamaa ya uongozi huku matokeo ni sifuri. Hatujui kama bado ana mpango mkubwa kuongoza nchi. Tujihadhari na watu wenye tamaa kuongoza huku hawasaidii shida za wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…