Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ni kweli mnatoa dawa kulingana na hali ya mgonjwa, lakini mmezidi kiasi.
Kila mtu akienda clinic anarudi kabadilishiwa dawa! Mmeshindwa kupata dawa za kumstabilize mgonjwa hata miezi sita au mwaka.
Mwezi wa tano ndugu yangu alikuwa na Losartan H. Kidogo akabadilishiwa Amlodipine(Hii ikamletea shida), akabadilishiwa Candesartan na Spironolactone. Juzi hapa kapewa Bisoprol na Furosemide. Hii imekuwa too much.