[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa kwamtogole wanachangamoto lakini wamasaki baba anajifanya amiweka karantini kumbe yuko na Mzigua hotel nyota 5
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1402293
It won't happen. How does that work in Manzese, Mburahati, Kigogo, Mbagala etc.?Bado subiria ipitishwe sheria ya kila mwananchi kujiweka karantini nyumbani kweke mwezi mzima hamna kutoka nje.
Hii ndo raha ya kuzaliwa shithole kantris.
Hata hapo Ufipa hali ni hiyo hiyo manka.......choo kimoja!Ninaishi Kwa Mtogole, nyumba tunayoishi tuko familia tano, wastani kila familia ina watu watano. Wote tunatumia choo kimoja. Mlango wa chooni ni gunia.
Mimi ninafanya kazi za kusafisha mji, mume wangu dereva wa daladala. Anaokutana nao huko anajua mwenyewe na mimi ninaokutana nao nikiwa na fagio langu ni wengi.
Jioni mimi na baba chanja tunajitenga na watoto wanalala chumbai kwao. Nyumba nzima tunachota maji kwa mwenyekiti wa mtaa ndoo ni shilingi mia.
Hayo maji ya kutiririka tunayaona kwenye Bongo Movie. Sisi tunanawa kwenye beseni.
Wataalamu wanasema tusafishe vitasa vya milango, chooni kwetu hakuna kitasa. Ukitaka aliyeko ndani ajue kuna mtu, ana kohoa.
Wanasema tutumie maji ya kutiririka. Imebidi ninunue jagi Kariakoo, watoto wanaosha mikono kwa kushikiana jagi kwa zamu.
Duuh, fursa hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1402293
Ninaishi Kwa Mtogole, nyumba tunayoishi tuko familia tano, wastani kila familia ina watu watano. Wote tunatumia choo kimoja. Mlango wa chooni ni gunia.
Mimi ninafanya kazi za kusafisha mji, mume wangu dereva wa daladala. Anaokutana nao huko anajua mwenyewe na mimi ninaokutana nao nikiwa na fagio langu ni wengi.
Jioni mimi na baba chanja tunajitenga na watoto wanalala chumbai kwao. Nyumba nzima tunachota maji kwa mwenyekiti wa mtaa ndoo ni shilingi mia.
Hayo maji ya kutiririka tunayaona kwenye Bongo Movie. Sisi tunanawa kwenye beseni.
Wataalamu wanasema tusafishe vitasa vya milango, chooni kwetu hakuna kitasa. Ukitaka aliyeko ndani ajue kuna mtu, ana kohoa.
Wanasema tutumie maji ya kutiririka. Imebidi ninunue jagi Kariakoo, watoto wanaosha mikono kwa kushikiana jagi kwa zamu.
Hata hapo Ufipa hali ni hiyo hiyo manka.......choo kimoja!
Kwani umesharudi toka kwa mabeberu??Ninaishi Kwa Mtogole, nyumba tunayoishi tuko familia tano, wastani kila familia ina watu watano. Wote tunatumia choo kimoja. Mlango wa chooni ni gunia.