Mengi sana itabidi niandike riwaya!
Hapa mimi naongelea wananchi nikiwa mmoja wao!..Bbi Handshake? Nataka mabadiliko kwa wananchi, sio wanasiasa
Taja mawiliHapa mimi naongelea wananchi nikiwa mmoja wao!..
Kenyatta hawezi kumfuta maana wadhifa wake uko hapo kikatiba, sio mihemko ya mtu mmoja. Kwa Kenya sio rahisi usimame mbele ya watu na kusema nimemfuta huyu na kumuajiri yule, au ghafla unamuangulia mtu kwa sura na kumwambia kuanzia leo wewe nimekuteua wadhifa huu.
Ujio wa katiba mpya ulikuwa ni mwanko mpya kwa taifa letu. Magatuzi yalileta usawa wa kimaendeleo kila upande wa taifa. Barabara kila mahali, stima, hospitali na huduma za kiserikali kuletwa karibu na wananchi n.k!..Taja mawili
Haya, sisi yote hayo yanafanyika na katiba yetu ya sasa. So huwezi kusema ya kwenu ni bora zaidi.Ujio wa katiba mpya ulikuwa ni mwanko mpya kwa taifa letu. Magatuzi yalileta usawa wa kimaendeleo kila upande wa taifa. Barabara kila mahali, stima, hospitali na huduma za kiserikali kuletwa karibu na wananchi n.k!..
Yanaweza kuwa yanafanyika ila huku kwetu mwendo ni was kasi mno. Halafu rais wetu hana usemi kupitiliza. Kuna baadhi ya mambo hawezi fanya kama vile tunaona ikifanyika kwengineko!..Haya, sisi yote hayo yanafanyika na katiba yetu ya sasa. So huwezi kusema ya kwenu ni bora zaidi.
Hahahaha, barabara na umeme kila mahali?, Turkana na Wajir hata lami hawajawahi kuona, Samburu wanatumia mkojo wa Ng'ombe hawajui MAJI ni kitu gani, Nairobi huu ni mwaka wa 3 MAJI ni shida.Ujio wa katiba mpya ulikuwa ni mwanko mpya kwa taifa letu. Magatuzi yalileta usawa wa kimaendeleo kila upande wa taifa. Barabara kila mahali, stima, hospitali na huduma za kiserikali kuletwa karibu na wananchi n.k!..
This failed state is ahead of you in almost everything. So who are you?. π€£π€£Hahahaha, barabara na umeme kila mahali?, Turkana na Wajir hata lami hawajawahi kuona, Samburu wanatumia mkojo wa Ng'ombe hawajui MAJI ni kitu gani, Nairobi huu ni mwaka wa 3 MAJI ni shida.
Katiba inamkataza rais kuwafukuza mafisadi na wafanyakazi wazembe, lakini inamuwezesha kumpora madaraka naibu wa rais kwa sababu za kisiasa. Ninyi ni Failed state.
LOL mabadiliko yapi?Bado tuko na mapungufu yetu lakini pamoja na hayo katiba mpya imeleta mabadiliko kubwa sana Kenya. Hilo wazi kabisaa!
LOL mabadiliko yapi?
Mtu anawaibia mamilioni ya shilling na bado anadunda sababu anajua Rais ni kikaragosi tu hakina lolote la kufanya sababu kameshikiwa akili mfukoni
Katiba imemvunja meno amebaki kibogoyo yaani Rais wenu hana tofauti na lofa fulani kariobangi
There's no meaning to be called the head of state while you are technically acting like a certain slave who can't do nothing without permissions, huyo ni kama tu a mere clerkWe believe in strong institutions and not one man show, just in case a tyrant ascends to power!. π€£π€£
There's no meaning to be called the head of state while you are technically acting like a certain slave who can't do nothing without permissions, huyo ni kama tu a mere clerk
Imagine insident ya sonko with those b'sKenyatta hawezi kumfuta maana wadhifa wake uko hapo kikatiba, sio mihemko ya mtu mmoja. Kwa Kenya sio rahisi usimame mbele ya watu na kusema nimemfuta huyu na kumuajiri yule, au ghafla unamuangulia mtu kwa sura na kumwambia kuanzia leo wewe nimekuteua wadhifa huu.
LOL strict protocols entertaining epic corruption scandals dailyAnd that's the difference between you and us. We believe in creating strict protocols. It's not that the president can't do anything, but he has to seek clearance when it comes to SOME undertakings.
Mh, kasi ipi iyo, miradi kibao mmesimamisha , labda kasi za kutatua mambo kisiasa, kama bbi.Yanaweza kuwa yanafanyika ila huku kwetu mwendo ni was kasi mno. Halafu rais wetu hana usemi kupitiliza. Kuna baadhi ya mambo hawezi fanya kama vile tunaona ikifanyika kwengineko!..
And who told you that it's solely the work of the president to fight corruption?.LOL strict protocols entertaining epic corruption scandals daily
Miradi kama zipi?. Kuna national projects na kuna communal level projects. Zile miundo mbinu kwa kiwango cha jamii ambazo zimegatuliwa ziko shwari kabisaa!..Mh, kasi ipi iyo, miradi kibao mmesimamisha , labda kasi za kutatua mambo kisiasa, kama bbi.
Alafu katiba yenu inamfanya rais wenu kuwa kama pambo vile, toothless kabisa.