Huku kutengua na kuteua kunanikumbusha mbali sana

Kenyatta hawezi kumfuta maana wadhifa wake uko hapo kikatiba, sio mihemko ya mtu mmoja. Kwa Kenya sio rahisi usimame mbele ya watu na kusema nimemfuta huyu na kumuajiri yule, au ghafla unamuangulia mtu kwa sura na kumwambia kuanzia leo wewe nimekuteua wadhifa huu.

Hii katiba yenu mpya iliyompa uhuru udikteta wa kupokonya madaraka ya makamo wa raisi!? Sasa Ruto yuko pale ofisini kama toothless dog maana uhuru kamkatia umeme. Kabaki as a ceremonial leader..power zimehamishiwa juu.
 
Taja mawili
Ujio wa katiba mpya ulikuwa ni mwanko mpya kwa taifa letu. Magatuzi yalileta usawa wa kimaendeleo kila upande wa taifa. Barabara kila mahali, stima, hospitali na huduma za kiserikali kuletwa karibu na wananchi n.k!..
 
Haya, sisi yote hayo yanafanyika na katiba yetu ya sasa. So huwezi kusema ya kwenu ni bora zaidi.
 
Ujio wa katiba mpya ulikuwa ni mwanko mpya kwa taifa letu. Magatuzi yalileta usawa wa kimaendeleo kila upande wa taifa. Barabara kila mahali, stima, hospitali na huduma za kiserikali kuletwa karibu na wananchi n.k!..
Hahahaha, barabara na umeme kila mahali?, Turkana na Wajir hata lami hawajawahi kuona, Samburu wanatumia mkojo wa Ng'ombe hawajui MAJI ni kitu gani, Nairobi huu ni mwaka wa 3 MAJI ni shida.

Katiba inamkataza rais kuwafukuza mafisadi na wafanyakazi wazembe, lakini inamuwezesha kumpora madaraka naibu wa rais kwa sababu za kisiasa. Ninyi ni Failed state.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
This

This failed state is ahead of you in almost everything. So who are you?. 🤣🤣
 
Bado tuko na mapungufu yetu lakini pamoja na hayo katiba mpya imeleta mabadiliko kubwa sana Kenya. Hilo wazi kabisaa!
LOL mabadiliko yapi?
Mtu anawaibia mamilioni ya shilling na bado anadunda sababu anajua Rais ni kikaragosi tu hakina lolote la kufanya sababu kameshikiwa akili mfukoni

Katiba imemvunja meno amebaki kibogoyo yaani Rais wenu hana tofauti na lofa fulani kariobangi
 
Mengi sana itabidi niandike riwaya!..
Anza na hii

😅😅😅😅
EULhPsrWsAEbojc.jpg
EULyMSxXYAI5U9V.jpg
EUL0UwCXsAAeV9u.jpg
 
We believe in strong institutions and not one man show, just in case a tyrant ascends to power!. 🤣🤣
LOL mabadiliko yapi?
Mtu anawaibia mamilioni ya shilling na bado anadunda sababu anajua Rais ni kikaragosi tu hakina lolote la kufanya sababu kameshikiwa akili mfukoni

Katiba imemvunja meno amebaki kibogoyo yaani Rais wenu hana tofauti na lofa fulani kariobangi
 
We believe in strong institutions and not one man show, just in case a tyrant ascends to power!. 🤣🤣
There's no meaning to be called the head of state while you are technically acting like a certain slave who can't do nothing without permissions, huyo ni kama tu a mere clerk
 
And that's the difference between you and us. We believe in creating strict protocols. It's not that the president can't do anything, but he has to seek clearance when it comes to SOME undertakings.
There's no meaning to be called the head of state while you are technically acting like a certain slave who can't do nothing without permissions, huyo ni kama tu a mere clerk
 
Kenyatta hawezi kumfuta maana wadhifa wake uko hapo kikatiba, sio mihemko ya mtu mmoja. Kwa Kenya sio rahisi usimame mbele ya watu na kusema nimemfuta huyu na kumuajiri yule, au ghafla unamuangulia mtu kwa sura na kumwambia kuanzia leo wewe nimekuteua wadhifa huu.
Imagine insident ya sonko with those b's
Imagine what bob owino did to that dj.
imagine Owino wrestling jaguar in daylight.
Imagine joro standing as a traffic police ensuring his merchandise passes safely.
Imagine how that kalenjin radio presenter said n was heard n evidence was found guilty in coaxing intercommunity crashes during the 2007 saga.
Imagine the existence of mungiki, who do they serve? Which leader do the collaborate with?
Imagine the sums of money you lost on eurobond😭😭😭😭
Kenyans, tuacheni na pombe wetu, ameweza tu, vitu kwa grao tz ni tamu kama keino😂😂😂
 
And that's the difference between you and us. We believe in creating strict protocols. It's not that the president can't do anything, but he has to seek clearance when it comes to SOME undertakings.
LOL strict protocols entertaining epic corruption scandals daily
 
Yanaweza kuwa yanafanyika ila huku kwetu mwendo ni was kasi mno. Halafu rais wetu hana usemi kupitiliza. Kuna baadhi ya mambo hawezi fanya kama vile tunaona ikifanyika kwengineko!..
Mh, kasi ipi iyo, miradi kibao mmesimamisha , labda kasi za kutatua mambo kisiasa, kama bbi.
Alafu katiba yenu inamfanya rais wenu kuwa kama pambo vile, toothless kabisa.
 
Miradi kama zipi?. Kuna national projects na kuna communal level projects. Zile miundo mbinu kwa kiwango cha jamii ambazo zimegatuliwa ziko shwari kabisaa!..
 
Back
Top Bottom