Huku kutengua na kuteua kunanikumbusha mbali sana

Kuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.

Soma biblia jinsi Yusufu alivyo pata cheo kikubwa kutoka gerezani
 
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri
Ugatuzi Bro umeleta maendeleo mashinani na pia ukaleta ufisadi but ni hatua nzuri kwetu we can easily tell where the problem is unlike kitambo when power was only vested on the presidency. Kwenu naona Magu anaamka na kutimua RC ovyo ovyo tu Kama nyakati za Mzee Moi.
 
Ndio maana corona inawazalisha mapacha kila siku,sababu ya kichanganyikiwa na maisha mpaka kumsahau Mungu.
Mjapani anatumia biblia 😁 usipumbazwe na mbeberu
Siku mkiacha ujinga mtakuwa watu wa maana sana.

Pop nayo ilikuwaje 2002???[emoji16]
Tayari so ni watu wa maana, kuongoza ukanda huu was Africa Mashariki na ya Kati kiuchumi sio mchezo.

Population ilikuwa est 30 million πŸ˜‰
 
Mjapani anatumia biblia [emoji16] usipumbazwe na mbeberu

Tayari so ni watu wa maana, kuongoza ukanda huu was Africa Mashariki na ya Kati kiuchumi sio mchezo.

Population ilikuwa est 30 million [emoji6]
Mjapan anaamini katika biblia na vitabu vingine,wewe ni mjapan??[emoji1787][emoji1787].


Mnaongoza nini,hii GDP ndio mmebaki nayo.na tunatoa miaka 10,mtajua hamjui.
 
Mh, kasi ipi iyo, miradi kibao mmesimamisha , labda kasi za kutatua mambo kisiasa, kama bbi.
Alafu katiba yenu inamfanya rais wenu kuwa kama pambo vile, toothless kabisa.
Sio kweli, katiba ya Kenya imempa madaraka makubwa rais kufanya kazi zake, ni udhahifu wa viongozi wao ndio tatizo, mbona aliwasimamisha kazi baadhi ya mawaziri miaka kadhaa nyuma kwa kuhusishwa na kashfa za rushwa, juzi amewabadilisha viongozi mbalimbali toka Chama chake aliowaona wanampinga kisiasa na kuungana na Rutto.

Kama anaweza kuwatoa kwa kutumia vikao maalumu wale anaowaona wanampinga kisiasa, kwanini asitumia vikao hovyo hivyo kuwatoa wale anaowaona hawafanyi kazi au ni wala rushwa?.

Mawaziri wote waliofutwa kazi na raid, kuanzia Rashid Echesa, waziri wa kilimo, na akina Murkomen na Duale, ni kwasababu za kumpinga Uhuru, sio kwasababu za rushwa au kushindwa kazi.
 
Reactions: Oii
Ugatuzi Tanzania tuuliufanya katikati ya miaka ya 80s, tuliuita "Madaraka mikoani", we failed terribly, hata ninyi mtashindwa, hiyo system sio tu ni ghali sana kwa nchi kuendesha, lakini ni vigumu sana kudhibiti matumizi ya pesa za nchi, unaongeza rushwa sana na kuchelewesha mtaendeleo kutokana na kuwepo kwa " too many centers of command".
 
Mliufanya 1980s na ukafeli nafikiri ndio maana mnashindwa kuwalipa mafao wazee waliostaafu πŸ˜‰
 
Mjapan anaamini katika biblia na vitabu vingine,wewe ni mjapan??[emoji1787][emoji1787].


Mnaongoza nini,hii GDP ndio mmebaki nayo.na tunatoa miaka 10,mtajua hamjui.


$100b vs $63b ni ishara tosha tunawaajiri mpende msipende na usisahau Ethiopia ndio was pili after Kenya, nyinyi mkubali nambari 3 roho Safi.
 
$100b vs $63b ni ishara tosha tunawaajiri mpende msipende na usisahau Ethiopia ndio was pili after Kenya, nyinyi mkubali nambari 3 roho Safi.
Mnatuajiri kufanya nini wakati hata nyinyi kazi mmeporwa na wachina[emoji23][emoji23][emoji23].

Subiri uone michezo ya kikubwa inachezwaje,wewe baki na copy ya cheti cha GDP.
 
Biblia ni ya kupumbaza miafrika Kama wewe.
Wewe mbumbumbu kuna tofauti kati ya biblia na madhehebu ya dini Wewe unadhungumzia madhehebu ndiyo yanayo pumbaza watu mm nimesoma biblia nimeona hekima kubwa tu
Na msahafu kuna hekima kubwa tu
Mambo ya kuhabudu mzungu kama nyinyi wakenya ni upumbaavu hata hivyo vitabu vimesema
 
Hiyo ugatuzi itasababisha miradi mibovu chini ya kiwango majengo kubomokea watu shule kubomokea wanafunzi nk juzi tenki LA maji jipya limebomoka kabla ya uzinduzi UGATUZI HUTA WAGATUA
 
Mliufanya 1980s na ukafeli nafikiri ndio maana mnashindwa kuwalipa mafao wazee waliostaafu [emoji6]
Wewe subiri huo UGATUZI UTAWAGATUA VERY SOON
MTASHANGAA HIYO MILADI YA UGATUZI HIKI BOMOKA KABLA YA KUZINDULIWA
 
Huu ujinga wako ndio unaita Hekima 😁😁 Reasoning yako ni ya wakati hakuna mitandao yani 80s...gutuka Mkuu yupo 2020.
 
Wewe subiri huo UGATUZI UTAWAGATUA VERY SOON
MTASHANGAA HIYO MILADI YA UGATUZI HIKI BOMOKA KABLA YA KUZINDULIWA
2013 tukianza ugatuzi GDP Kenya $65b
2013 Tanzagiza GDP $50b
Tofauti = $15b

2020 Kenya GDP $100b
2020 Tanzagiza GDP $63b
Tofauti = $37b

Mtawezana kweli 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…