Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Soma biblia jinsi Yusufu alivyo pata cheo kikubwa kutoka gerezaniKuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.