Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka awe sharp wakati watoto wake hawajaripoti skuli,hajui kesho watakula nini na bili ya maji ametumiwa kwenye simu?Jiongeze.Mpatie hela!Kichwa cha habari chajitosheleza....yaan mambo yamelala mno ule usharpness haupo,kujali hakupo...kitu cha dk 2 kinachukua dk30..aisee hii ni hatari...Serikali mlala mno....
Aisee ni hatari sana kwa huu utendaji wa sasa...nchi kuendelea ni ngumu mno....culture takes years and years to change.. #5 alijitahidi kubadilisha japo mwishoni underlings wake waliexcuse mateso eti wanawajibisha watu.. kiufupi, unless tupate kiongozi aliye strict but fair hamna kitakachobadilika
kazini sio sehemu ya excuses. kama huwezi kufanya kazi na una msongo wa mawazo omba leave uji-sort out. hizi sababu kuna siku nurse atamchomeka vibaya catherter mgonjwa anaekuhusu vibaya atatumia sababu hizi hizi unazotoaUnataka awe sharp wakati watoto wake hawajaripoti skuli,hajui kesho watakula nini na bili ya maji ametumiwa kwenye simu?Jiongeze.Mpatie hela!
Peleka shida kwa kaimu wa mama Abdul Paulo Bashite!Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Naunga mkono hojaAkingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima
Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]
Ova
🤣😁😂Peleka shida kwa kaimu wa mama Abdul Paulo Bashite!
Sema tunalalamika ipo siku nawe utakuja simulia....Wabongo kwa kulalamika! Huduma ipi mbovu ulipewa mkuu
Ulienda kupata huduma gani, wakati mwingine mteja unamueleza vizuri tu anaanza kukaza fuvu kisa ana haraka zake au anataka jambo lifanyike bila kufuata utaratibu basi anatoka hapo na hasira kibao. Mtu unamwelekeza vizuri tu nyaraka zinazotakiwa kesho yake anakuja nazo pungufu... Ukimwambia utasikia hukuniambia au huu ni urasimu mi nimechoma nauli etc. Ni mfano tu....Sema tunalalamika ipo siku nawe utakuja simulia....