hii migawanyiko unataka kuleta ndo hutukwamisha , mtu mweusi anashindwa maliza mada moja analeta nyingine , je unataka tuanze kurebisha haya au tuache kisa hakukuwai kuwa na huduma bora ?Tunajua unachokusudia kusema lakini hakuna wakati wowote kulikuwa huduma nzuri huko maofisini.
usihisi wew ndo upo serikalin pekee yako , mimi nmefanya kaz hospital x , machief ( sasa ni wastaafu na mim sipo serikalin tena ) nliwakuta walikuwa wanaagizia bites wanakula wanapiga story wanakwambia dogo wagonjwa huwa hawaishi , we jitesee tuUlienda kupata huduma gani, wakati mwingine mteja unamueleza vizuri tu anaanza kukaza fuvu kisa ana haraka zake au anataka jambo lifanyike bila kufuata utaratibu basi anatoka hapo na hasira kibao. Mtu unamwelekeza vizuri tu nyaraka zinazotakiwa kesho yake anakuja nazo pungufu... Ukimwambia utasikia hukuniambia au huu ni urasimu mi nimechoma nauli etc. Ni mfano tu....
hahahaaa nan apishe yeye anaekula kodi zetu au sisi maboss wake ?Na ukiona yupo hivyo mtafute wa kukufanyia utakalo.Watumishi si sehemu ya kujitafutia umaarufu.Nenda kwingine.
mimi.nlikuwa huko hali ni mbaya naandika kama aliyewai kuwa mmoja wa watoa huduma na sio mpokea huduma , watendaj wa hospitalin ni hovyo kabisa hawatak maoni wala kurekebishwa wao ni kupiga story wkt wagonjwa wapo nje wanasubiri , mtu unaangalia unakaa kimya tu usionekane mjuajiDah mbuzi mee nimekuelewa japo hujapenda kushare expirience yako
uliwapa nini ? au nan alikupeleka au jina lako la ubini ni lipi ?Mimi mwaka Jana mwishoni nilienda ofisi ya NHIF pale Posta wale vijana walinipa huduma nzuri hadi nikashangaa.
🤣 🤣 🤣mimi nmefanya kaz hospital x , machief ( sasa ni wastaafu na mim sipo serikalin tena ) nliwakuta walikuwa wanaagizia bites wanakula wanapiga story wanakwambia dogo wagonjwa huwa hawaishi , we jitese tu
Kumchukua Katibu wa CCM wa wilaya kwenda kuwa DC unatarajia nini mkuu?Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Nilienda Posta Pamba Road Mwanza kufuata mzigo wangu. Nikamkuta binti mmoja na dilishani pale tulikua wateja watatu tu. Ebanaee 😂😂yaani nilichukua dakika 45 hivi.Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Jitahidi sana uongee na watu vizuri kuwa mcheshi mbona uchangamfu upo mimi napiga simu tu nahudumiwa kama nipo ofisi husika ila ni kitu unakotengeneza ili usiteseke na sio lazima utoe hela......Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Kwahyo dakika 15 mtu mmoja mbona sio jambo kabisa kama huduma zinaendeleaNilienda Posta Pamba Road Mwanza kufuata mzigo wangu. Nikamkuta binti mmoja na dilishani pale tulikua wateja watatu tu. Ebanaee 😂😂yaani nilichukua dakika 45 hivi.
Jitahidi sana uongee na watu vizuri kuwa mcheshi mbona uchangamfu upo mimi napiga simu tu nahudumiwa kama nipo ofisi husika ila ni kitu unakotengeneza ili usiteseke na sio lazima utoe hela......
Salimia watu uhudumiwe vizuri
Hilo ni kosa kubwa sana..huduma hazitolewi kwa mtindo huo..maana mkiwa 20 mkapiga simu ina maana wale walioko physically wasubirie mpaka nyie wa simu muhudumiwe!!! Yaani hapa umeaniaka ujinga unaofanyika
Ila inasikitisha sana🤣 🤣 🤣
Noma sanaHahah
Ila inasikitisha sana
Kumbuka niliwakuta haoKwahyo dakika 15 mtu mmoja mbona sio jambo kabisa kama huduma zinaendelea
Hahahaha....wagonjwa hawaishagi chief...ukicheza na ww utaumwa...kisa umeshinda njaa...wagonjwa hawanaga huruma na mtu au daktari....mtu ukimuhudumia kwa dhamana..akipona anakuona takataka...pesa halipi unabaki kulipa deni kwa mhasibu.. wagonjwa hawajui kama na ww unaweza kuumwausihisi wew ndo upo serikalin pekee yako , mimi nmefanya kaz hospital x , machief ( sasa ni wastaafu na mim sipo serikalin tena ) nliwakuta walikuwa wanaagizia bites wanakula wanapiga story wanakwambia dogo wagonjwa huwa hawaishi , we jitesee tu
Sio shida acha wapewe huduma utafikiwaKumbuka niliwakuta hao
😂Wewe ni mtumishi wa umma. Najua hatuwezi kumalizaSio shida acha wapewe huduma utafikiwa
Hayajakukuta mkuu, unakuta mtu umemzidi umri afu ana ku-degrade unataman hata ummeze.Wabongo kwa kulalamika! Huduma ipi mbovu ulipewa mkuu