Huku kwetu bata daily, kwenu vipi?

mankizzo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
247
Reaction score
116
je ni kweri kwamba sasa hivi Starehe,Anasa jijini zime pungua!πŸ˜‰πŸ˜ŽπŸ˜›.
maana kuna sehemu naona bado uzi umelegezwa sasa na hivi wakuu wanataka kwenda Dodoma mhuu!!! .Jamani utanda wazi ni mzuri na una ubaya wake . kitu kiki zoeleka hakipotei hubadilishwa tuu njia ya upatikanaji wake.
NB: mtu yeyote hu acha kitu baada ya kuona athari zinazo tokea baada yaa. ,kumlea mtoto ni kazi ngumu sana, ila pia na kumlea mke hikazi ni ngumu na maranyingi ina ma lipo mabaya.

 
HUU UZI UNZ MANTIKI GANI?
HALAFU UIFUNZE KUANDIKA UNACHANGANYA KILUGHA CHA KWENU NA KISWAHILI...

KISHA HIZI PICHA ULIZOWWEKA HAZINA UHUSIANO NA THREAD
Dah... Kama umeshindwa kuelewa Uzi... Basi jaribu kumuelewa mleta Uzi [emoji4]
 
HUU UZI UNA MANTIKI GANI?
HALAFU UJIFUNZE KUANDIKA UNACHANGANYA KILUGHA CHA KWENU NA KISWAHILI...

KISHA HIZI PICHA ULIZOWWEKA HAZINA UHUSIANO NA THREAD..........
mzee huja elewa hata picture huoni typing errors nika waida ukisoma sio kila kitu uta elewa hapo hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…