mankizzo
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 247
- 116
je ni kweri kwamba sasa hivi Starehe,Anasa jijini zime pungua!😉😎😛.
maana kuna sehemu naona bado uzi umelegezwa sasa na hivi wakuu wanataka kwenda Dodoma mhuu!!! .Jamani utanda wazi ni mzuri na una ubaya wake . kitu kiki zoeleka hakipotei hubadilishwa tuu njia ya upatikanaji wake.
NB: mtu yeyote hu acha kitu baada ya kuona athari zinazo tokea baada yaa. ,kumlea mtoto ni kazi ngumu sana, ila pia na kumlea mke hikazi ni ngumu na maranyingi ina ma lipo mabaya.