Huku kwetu bendera, baiskeli, kofia, nguo za CCM hazionekani shida ni Nini wakuu?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana je kwenu zinaonekana wakuu?
 
Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana
Mbona walifika mahali wakawa wanajimwambafai kuwa uoga wa kupita na nguo zao mtaani umekwisha kwani nini kimetokea gafla tena?Ama ile habari ya nyonya damu?Je hata zile boda boda zao hazionekani au wamebadili rangi?
 
Nashangaa zimepotea ghafla na baiskeli nazo zimepotea ghafla yaani imekua kama dhahabu kuipata kwake ni mpaka uchimbe futi 5000 na unaeza pia usiipate
 
Wapi huko uliko? Mkoa wa Geita tunatamba nazo mpaka sasa na jana tu tumefanya sherehe ya ushindi wa diwani wetu!
 
Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana je kwenu zinaonekana wakuu?
Yeah, ni nchi nzima! Wazivae watuone tu Gen-Z! Pumbavu kabisa walikuwa wanatu8na Sisi kama takataka? Heshima imerudishwa na Gen-Z! Naviombea kwa Mungu virudi tena kabla mwaka haujaisha!
 
Nashangaa zimepotea ghafla na baiskeli nazo zimepotea ghafla yaani imekua kama dhahabu kuipata kwake ni mpaka uchimbe futi 5000 na uneza pia usiipate
Labda Kazinunua Kaweje kaenda nazo Mtwara
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.7 KB · Views: 23
Yeah, ni nchi nzima! Wazivae watuone tu Gen-Z! Pumbavu kabisa walikuwa wanatu8na Sisi kama takataka? Heshima imerudishwa na Gen-Z! Naviombea kwa Mungu virudi tena kabla mwaka haujaisha!
Kumbe ni nchi nzima 🤣🤣🤣🤣
 
Kijijini kwetu, pikipiki na baiskeri zimerudishwa na kufungiwa ktk ofisi za chama..

Watu wamesema wakiziona mtaani ni kuzitia kiberiti.
Waja wamechafukwaa, thou kata yetu Diwani amekimbia yeye na familia yake, kuogopwa kubondwaa.

Sasa sijui itakuaje hatima ya uongozi hapo katani.
 
Nadhani watu soon wataanza kutumia style ya ANC kuwatia kiberiti wasaliti naona kama tunaelekea huko
 
Kijijini kwetu, pikipiki na baiskeri zimerudishwa na kufungiwa ktk ofisi za chama..

Watu wamesema wakiziona mtaani ni kuzitia kiberiti.
Waja wamechafukwaa, thou kata yetu Diwani amekimbia yeye na familia yake, kuogopwa kubondwaa.

Sasa sijui itakuaje hatima ya uongozi hapo katani.
Mtaani kwetu viongozi wa ccm wameshusba bendera. Wanasema hawataki kuunguziwa nyumba zao! Thumbs up Gen-Z!
 
Back
Top Bottom