Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mbona walifika mahali wakawa wanajimwambafai kuwa uoga wa kupita na nguo zao mtaani umekwisha kwani nini kimetokea gafla tena?Ama ile habari ya nyonya damu?Je hata zile boda boda zao hazionekani au wamebadili rangi?Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana
Nashangaa zimepotea ghafla na baiskeli nazo zimepotea ghafla yaani imekua kama dhahabu kuipata kwake ni mpaka uchimbe futi 5000 na unaeza pia usiipateMbona walifika mahali wakawa wanajimwambafai kuwa uoga wa kupita na nguo zao mtaani umekwisha kwani nini kimetokea gafla tena?Ama ile habari ya nyonya damu?Je hata zile boda boda zao hazionekani au wamebadili rangi?
Yeah, ni nchi nzima! Wazivae watuone tu Gen-Z! Pumbavu kabisa walikuwa wanatu8na Sisi kama takataka? Heshima imerudishwa na Gen-Z! Naviombea kwa Mungu virudi tena kabla mwaka haujaisha!Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana je kwenu zinaonekana wakuu?
Thubutuuuuu! Diwani wetu ameingia mafichoni mpaka leo hatujui yuko wapi!Wapi huko uliko? Mkoa wa Geita tunatamba nazo mpaka sasa na jana tu tumefanya sherehe ya ushindi wa diwani wetu!
Labda Kazinunua Kaweje kaenda nazo MtwaraNashangaa zimepotea ghafla na baiskeli nazo zimepotea ghafla yaani imekua kama dhahabu kuipata kwake ni mpaka uchimbe futi 5000 na uneza pia usiipate
Geita Gani hiyo huko Mimi Nina ndugu zangu wanasema hamna Cha baiskeli Wala nguoWapi huko uliko? Mkoa wa Geita tunatamba nazo mpaka sasa na jana tu tumefanya sherehe ya ushindi wa diwani wetu!
Kumbe ni nchi nzima 🤣🤣🤣🤣Yeah, ni nchi nzima! Wazivae watuone tu Gen-Z! Pumbavu kabisa walikuwa wanatu8na Sisi kama takataka? Heshima imerudishwa na Gen-Z! Naviombea kwa Mungu virudi tena kabla mwaka haujaisha!
mwambie aweke video ya hiyo shereheGeita Gani hiyo huko Mimi Nina ndugu zangu wanasema hamna Cha baiskeli Wala nguo
Zanzibar kijijini kwa Samia wanazoKumbe ni nchi nzima 🤣🤣🤣🤣
Hamna kitu hapo 🤣🤣🤣🤣mwambie aweke video ya hiyo sherehe
Labda hukoZanzibar kijijini kwa Samia wanazo
Kwahiyo watu wanalazimishwa 🤣🤣🤣🤣
Nahitaji betri na tairi moja
Nadhani watu soon wataanza kutumia style ya ANC kuwatia kiberiti wasaliti naona kama tunaelekea hukoKijijini kwetu, pikipiki na baiskeri zimerudishwa na kufungiwa ktk ofisi za chama..
Watu wamesema wakiziona mtaani ni kuzitia kiberiti.
Waja wamechafukwaa, thou kata yetu Diwani amekimbia yeye na familia yake, kuogopwa kubondwaa.
Sasa sijui itakuaje hatima ya uongozi hapo katani.
Mtaani kwetu viongozi wa ccm wameshusba bendera. Wanasema hawataki kuunguziwa nyumba zao! Thumbs up Gen-Z!Kijijini kwetu, pikipiki na baiskeri zimerudishwa na kufungiwa ktk ofisi za chama..
Watu wamesema wakiziona mtaani ni kuzitia kiberiti.
Waja wamechafukwaa, thou kata yetu Diwani amekimbia yeye na familia yake, kuogopwa kubondwaa.
Sasa sijui itakuaje hatima ya uongozi hapo katani.
Uko sahihi kabisaaNadhani watu soon wataanza kutumia style ya ANC kuwatia kiberiti wasaliti naona kama tunaelekea huko