stress zipi hzo mkuu mbn kawaida tu lbd we ndo una stressNawaona kule kwenye jukwaa la siasa wanavyojipa Stress bila sababu ya msingi kila member kule leo anakuja na thread Yenye heading Maandamano.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huku kwetu chit--Chat ni Raha tu hatunaga stress ni mwendo wa kupeana malike na kufurahi Maisha yenyewe Mafupi haya.
Poleni saa mlioko kule jukwaa la siasa karibuni sana huku Kwetu Chit-- chat ni bure kabisa hakuna kiingilio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3].
Kwani ana id ngapi??Mshana jr kaapa kutoshiriki tena jukwaa hilo, hakika watanzania hatuaminiki!
Sio mojaKwani ana id ngapi??
Wacha kabisa rafiki. Yaani unakuta siku inaisha bila kubanduka jf.Khakhakhaaaaaaa! Chitchat MMU ni noumaaa Siku kikinuka kinanuka haswaaaaa panakuaga hapatoshi!!
Kama saivi nimemisi kweli ka skendo ka kusogeza weekend [emoji2]
Cc Smart911