Huku kwetu Chit-Chat ni Raha tu siyo kama kulee...!

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Nawaona kule kwenye jukwaa la siasa wanavyojipa Stress bila sababu ya msingi kila member kule leo anakuja na thread Yenye heading Maandamano.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huku kwetu chit--Chat ni Raha tu hatunaga stress ni mwendo wa kupeana malike na kufurahi Maisha yenyewe Mafupi haya.

Poleni saa mlioko kule jukwaa la siasa karibuni sana huku Kwetu Chit-- chat ni bure kabisa hakuna kiingilio.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3].
 
stress zipi hzo mkuu mbn kawaida tu lbd we ndo una stress
 
Kule mlitusababishia mpaka sisi wa huku Chit--Chat kupata kadhia kwa sababu ya zile Nyuzi zenu za kukosoa .
 
Sasa mbona konachowapa stress kule ndio mnajadili huki?? Hata wewe mi miathirika wa kinachowapa stress kule ni umekihamishia humu tu.
 
Kule haipiti siku wat hawajala ban zakutosha..

Karibuni nyumbani kwetu Technology forum....
 
Khakhakhaaaaaaa! Chitchat MMU ni noumaaa Siku kikinuka kinanuka haswaaaaa panakuaga hapatoshi!!
Kama saivi nimemisi kweli ka skendo ka kusogeza weekend [emoji2]

Cc Smart911
Wacha kabisa rafiki. Yaani unakuta siku inaisha bila kubanduka jf.

Hahaaa. Yadumu tu haya majukwaa rafiki.
 
Back
Top Bottom