Huku kwetu Temeke maji ni 24/7, pia na umeme ni 24/7

Huku kwetu Temeke maji ni 24/7, pia na umeme ni 24/7

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nipo Temeke hapa Maeneo ya Tandika Makaburuni, dumu la maji ni 50 na umeme ni 24/7

Naomba serikali watoe magari yao waje huku wajaze maji na wawasambazie ndugu zetu wa huko pembezoni na mji.

Hapa Temeke visima vipo vingi sana maji ni 24/7
 
Kule Mbagala ukiwaambia shida ya maji wanakushangaa..
 
Mitaa ya kwetu namba 5 ndy Dawasco wametega maji lakini wakazi wa hapa hata hatuna shobo nayo visima binafsi vingi vya fresh water.
 
Back
Top Bottom