Huku kwetu tuna watoto wanaoitwa Kikwete, Mkapa, na Mwinyi, sijasikia Magufuli, vipi huko kwenu

Tatizo liko wapi sasa?biashara yake,kaianzisha kwa pesa yake hamna wa kumpangia jina.mfano kishimba ana super market yake ilikuwa inaitwa kishimba supermarket kwan kuna tatizo?ukijiamini na kujikubali kamwe hautaona aibu kutumia jina lako au la ukoo wako.
Aah magufuli hardware!!!!!???
Huelewi maana ya kuita jina la duka linalouza cement ngumu magufuli?
Hahaa haaaaa
 
Mulipenda mtelemko huu wa sasa ni muarubaini weka mbali na watoto
 
Tulizoea mtelemko ndo maana.huu wa sasa ni muarobaini mchukungu mno ukichanganya anemfuata ni mualovela. Weka mbali na watoto.
 
watanzan
huyo dogo inawezekana ni MKWERE, sabababu jina la kabila flani haliwezi kutumiwa na kabila nyingine, huwezi ukamkuta Mzigua, mzaramo mfipa anaitwa NYERERE, kwa vile nyerere ni jina la kabila la KIZANAKI na MKAPA ni la kimakua MAGUFULI ni la KISUKUMA ila jina la MWINYI ni la kiswahili na watu wote wanao zugumza kisawahili wanalitumia
 
Mbona mfingu alitaka kujiita mzungu kabisa?
 
Mimi nakuambia kuna watu ambao katakata ulikuwa ukiwaambia habari mbaya za Magufuli, wanakutoa roho. Mpaka January mwaka huu, hao jamaa na magu kindakindaki. Bwana wewe Mungu si athumani leo hii, wamekili hali ngumu sana. Aaah mimi nimebaki kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…