T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,903 Reaction score 7,213 Aug 26, 2025 #1 Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%. Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%. Ee ndo hivyo bana, utafanyaje sasa. Hata kukaa kimya huruhusiwi.
Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%. Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%. Ee ndo hivyo bana, utafanyaje sasa. Hata kukaa kimya huruhusiwi.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 26, 2025 #2 πππππ
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,518 Reaction score 38,854 Aug 26, 2025 #3 So sad
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 26, 2025 #4 Tutakupatia u-DC ili ule nyama unyamaze.
T Twin Tower JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 4,903 Reaction score 7,213 Aug 26, 2025 Thread starter #5 Moisemusajiografii said: Tutakupatia u-DC ili ule nyama unyamaze. Click to expand... Mkuu..cheo gani hiko.
Moisemusajiografii said: Tutakupatia u-DC ili ule nyama unyamaze. Click to expand... Mkuu..cheo gani hiko.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 26, 2025 #6 Twin Tower said: Mkuu..cheo gani hiko. Click to expand... District Commissioner.Mwenyekiti wa kamari ya ulinzi na usalama wa wilaya.
Twin Tower said: Mkuu..cheo gani hiko. Click to expand... District Commissioner.Mwenyekiti wa kamari ya ulinzi na usalama wa wilaya.
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,343 Reaction score 5,589 Aug 26, 2025 #7 Huo ndio ukomavu wa kisiasa na kuwa na Imani na kamati kuu!
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,190 Reaction score 4,314 Aug 26, 2025 #8 vyama karibu vyote vina wanachama wanaokubaliana na maamuzi ya chama na wengine hawakubali.