Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

Huku mambo kero, Waziri wa Kilimo pitia hapa

Shujaa Nduna

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2022
Posts
599
Reaction score
487
Mheshimiwa waziri wa kilimo salam,

Mimi ni mkulima wa hali ya chini tu lakini kwakweli kumekuwa na kero kubwa ktk maeneo kadha kwenye vituo vya kupata mbolea kwa bei ya ruzuku.

Mtu unaenda leo kutwa inaisha kwajili ya kuandikisha details halafu siku inayofuata unasimama foleni toka asubuhi hadi jioni ndipo upate mbolea tena unaweza usifanikishe hadi kesho tena.

Baada ya malalamiko sasa nashauri ongezeni mawakala wa kutuhudumia na kusiwe na urasimu. Mfano pale samco Songea mjini. Tuwa watu wakajionee.
 
Back
Top Bottom