Huku mapato yake yakipaa kwa zaidi ya mara sita: ATCL kutua katika Majiji 16 duniani.

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,187
ATCL yatarajia kutua katika Majiji 16 duniani. Majiji hayo ni: Comoro, Bujumbura, Entebbe, Nairobi, Kigali, Lubumbashi, Accra, Lagos, Harare, Lusaka, Jo-burg, Guangzhou, Dubai, Muscat na London, Bangkok na Mumbai. Hiyo italifanya ATCL kuipa Tanzania nguvu ya kushindana katika soko la biashara ya utalii.
Aidha, mapato ya ATCL yamepanda kwa zaidi ya mara sita kutoka milioni 700 hadi bilioni 4.5.

 
hakuna haja ya vibali mkuu anga ni letu wote ndio maana hata mvua ama lilipotokea garika lilikumba dunia nzima isipokuwa wale wateule walioteuliwa na Mwenyezi Mungu wakaingia safinani.Asa wewe iweje ka Boeing ketu useme ili kiende kwenye anga kinahitaji vibali.Universe is all free for us full stop.
 
Hongera sana ATCL,tuanajivunia,chetu licha ya kupigana vita wenyewe kwa wenyewe lakini tutaemdelea kupambana mpaka kieleweke...
 
Naona habari inayotolewa ni juu ya mapato tu hatufahamishwi juu ya faida inayopatikana.
 
Lini hasa? Nahitaji kutembelea kigali mara kwa mara
 
Hakuna kitu kibaya kama usaliti. Yuda alijiua baada ya kuzidiwa nguvu na nafsi iliyomsuta kwa kile alichokifanya.

Watu wanakaribia kuleta ndege, halafu wewe unafanya mawasiliano na wanaotudai ili walipwe fedha yao na fedha ya malipo ya ndege ikosekane!!, hujiulizi kuwa kwa kufanya hivyo unaharibu mipango yote ya ufufuaji wa shirika la ndege, la nchi ambayo Baba yako na Mama yoko wamezaliwa!!. Huo kama sio usaliti tuiteje?.

Ndege hizi zingewasili mapema pengine sasa hivi kungekuwa na maendeleo fulani kwenye sekta ya anga. Unapopambana ili juhudi za kubadilisha hali ya nchi zisifikiwe, ukumbuke tu unapambana na zile nguvu zisizofahamika kwa walio wengi.

ATCL imeanza na mguu mzuri sana, wanasiasa wapigaji na wenye damu za kifisadi hawawez kutafuta habari njema. Hawana tofauti na wale waliosahau kuwa Tanzania ni nchi kamili, ambayo ukiifanyia usaliti basi utajikuta ukiumia.
 
Hapo ndipo utajua serikali ya awamu ya tano imedhamiria kujenga uchumi thabiti. Hakuna porojo ni utendaji tu tena kwa kasi ya ajabu, ndani ya miaka miwili na nusu hivi mambo yaliyokwisha fanyika yanaonesha wazi ni vipi nchi yetu inakwenda kunufaika siku za usoni na kurudisha heshima yake iliyokuwa naye miaka ya sabini. Tunachopaswa kufanya kama raia ni kuchapa kazi na kulinda amani yetu.
 
Route ya Nairobi mtajitoa wenyewe

Wakenya wakileta figusu walipiziwe tuu....Ubaya hulipwa kwa ubaya

Kipindi cha Jakaya Kikwete walishawahi kushikishwa adabu hadi wakaomba yaishe kwa kukutana na Jakaya mkutanoni Namibia
 

Huu ujumbe na uwafikie wale wasaliti wakuu (mheshimiwa tobo aliyepo ubeligiji na yule mheshimiwa mshirikina wa kigoma ujiji)
 
wanasahau kuwa Tanzania ni nchi yetu sote kutwa kucha wanaiombea mabaya utadhani inamilikiwa na mtu mmoja.WATASHINDWA NA KULEGEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…