Huku mganga wao wa kienyeji akiwataka kutumia tu jezi nyeusi, Bodi ya Ligi muda wowote kuipa Yanga SC adhabu kali

Huku mganga wao wa kienyeji akiwataka kutumia tu jezi nyeusi, Bodi ya Ligi muda wowote kuipa Yanga SC adhabu kali

Mnatuchanganya mara bahasha mara jezi,mara timu yenu mbovu mnahangaika tu
 
Makamasi matupu
Unavyoweka muda wako vizuri wa Kuvizia kila Thread yangu ninayoianzisha hapa JamiiForums au Post ninayoichangia ili uje Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia ukiwa na Lengo la Kuuchafua Uzi wangu kwa Majibizano yetu yenye Maneno Makali ( ukiwa na Agenda yako Maalum ) ni Kielelezo tosha kuwa Unanifuatilia, Unanikubali na unateswa mno na Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa.

Kabla ya Kuuanza huu Mkakati wako wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu dhidi yangu nilikuwa na Jumla ya Followers 117 ila baada ya Kuuanzisha huu Mkakati wako huku mara nyingine ukitumia Multiple ID's zako umenisaidia kuwa na Jumla ya Followers 125 sasa hivyo Nikushukuru kwa Kusaidia Kunipaisha hivi GENTAMYCINE hapa JamiiForums sawa?

Mwisho nikuambie kwa Kukusaidia kuwa Nishambulie uwezavyo, Nidhihaki uwezavyo na Nitukane uwezavyo ila kamwe hutoweza Kuipunguza Kasi yangu, Kuushusha Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums na kunifanya nisiwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi nilivyo.

Ushauri wangu mkubwa Kwako kila ukiwa unampigia Goti Mwenyezi Mungu jitahidi sana Umlalamikie ni kwanini hakukubariki na Shani ( Tunu ) nyingi ambazo amenibariki nazo Mimi GENTAMYCINE ikiwemo ya kunipa hii 'Natural Charm' niliyonayo ambayo ndiyo inakutesa Wewe na Wapumbavu wenzako Wote mnaonichukia hapa JamiiForums utadhani labda nimeshawahi Kulala na Mama zenu Wazazi au hata Kuwaingilia Kinyume na Maumbile ( Kuwanukudi ) hivyo nyie Watoto zao mna Hasira na Machungu nami.

Sadism is inevitable when the situation is alarming.
 
Genta nakukubali sana Mkurya wa Mara jioni pita pale kiwanja kipya kwenye frem za jeshi upate kumwagilia moyo mm ni simba mwenzako Nitakuwa nimevaa uniform zangu za jeshi
Asante Mkuu Afande.
 
Genta leta kifungu tu basi. Ila kokote duniani unaweza vaa jersey yoyote popote ili mradi tu;
1. Ukiwa nyumbani na ukavaa home kit yako, mgeni kaja jersey zikafanana na zako yeye anatakiwa kubadili.
2. Kwa maana hiyo mgeni atabadili avae isiyofanana ya mwenyeji, anaweza vaa yake ya home, away or third kit.
3. Kama kweli kanuni hii ipo basi hao Tifuatifua na bodi ni mambwiga sana kama walivyowafungia akina Aziz Ki na Chama kwa swala la kisenge eti hawakupeana mikoni-shenzi kabisa.
Kuanzia leo Mimi nitakusapoti Hadi tone la mwisho
 
Jezi hazichezi soka, Fanyeni usajili makini na mtafute uongozi imara ushindi utakuja tu.Muda si mrefu mtahama kwenye jezi mtaibuka na lingine.
Angalia kile kitivo Cha kuzalisha umeme pale Yanga(Power house) Kuna Aucho, Sure Boy, Bigilimana, Bangala, Faisal, Mauya. Wewe unahangaika na Koroboi Yako ya kuzalishia mwanga Ina Kanute na Mzamiru ambao hawafakii kiwango Cha Zawadi Mauya. Bado una lalamikia jezi?[emoji3][emoji3]
Vipi mmepakatwa watoto wazuri
 
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.

Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu

Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?

Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.

Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.

Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.

Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Hats off to Gentamycine
 
Leo wamebadiri jezi tu wamebondwa... we mwamba naanza kukuamini sasa
Unadhani Mwenyezi Mungu alivyonibariki na hizi Tunu (.Shani ) Kuu Nne ( 4 ) za 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hadi akina OKW BOBAN SUNZU wananichukia na Kunionea Wivu alikosea?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.

Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu

Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?

Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.

Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.

Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.

Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
yanga wanavaa jezi za njano miaka na mikaka
 
Back
Top Bottom