Kanuni zinaeleza utaratibu Gani utatumika iwapo rangi ya timu mwenyeji na mgeni zitafananaWhat happens kama mwenyeji kavaa yake ya home na ikafanana na ya away ya mgeni. Njoo taratibu hapo.
Unavyoweka muda wako vizuri wa Kuvizia kila Thread yangu ninayoianzisha hapa JamiiForums au Post ninayoichangia ili uje Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia ukiwa na Lengo la Kuuchafua Uzi wangu kwa Majibizano yetu yenye Maneno Makali ( ukiwa na Agenda yako Maalum ) ni Kielelezo tosha kuwa Unanifuatilia, Unanikubali na unateswa mno na Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa.Makamasi matupu
Asante Mkuu Afande.Genta nakukubali sana Mkurya wa Mara jioni pita pale kiwanja kipya kwenye frem za jeshi upate kumwagilia moyo mm ni simba mwenzako Nitakuwa nimevaa uniform zangu za jeshi
Hata 'Kukukaza' pia sielewi?Popoma huelewi vitu kabis
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!Ahsante sana GENTAMYCINE wamekusikia...somo la jezi limeshapokelewa huku
Kuanzia leo Mimi nitakusapoti Hadi tone la mwishoGenta leta kifungu tu basi. Ila kokote duniani unaweza vaa jersey yoyote popote ili mradi tu;
1. Ukiwa nyumbani na ukavaa home kit yako, mgeni kaja jersey zikafanana na zako yeye anatakiwa kubadili.
2. Kwa maana hiyo mgeni atabadili avae isiyofanana ya mwenyeji, anaweza vaa yake ya home, away or third kit.
3. Kama kweli kanuni hii ipo basi hao Tifuatifua na bodi ni mambwiga sana kama walivyowafungia akina Aziz Ki na Chama kwa swala la kisenge eti hawakupeana mikoni-shenzi kabisa.
Vipi mmepakatwa watoto wazuriJezi hazichezi soka, Fanyeni usajili makini na mtafute uongozi imara ushindi utakuja tu.Muda si mrefu mtahama kwenye jezi mtaibuka na lingine.
Angalia kile kitivo Cha kuzalisha umeme pale Yanga(Power house) Kuna Aucho, Sure Boy, Bigilimana, Bangala, Faisal, Mauya. Wewe unahangaika na Koroboi Yako ya kuzalishia mwanga Ina Kanute na Mzamiru ambao hawafakii kiwango Cha Zawadi Mauya. Bado una lalamikia jezi?[emoji3][emoji3]
Hats off to Gentamycine"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.
Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu
Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?
Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.
Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.
Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.
Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Unadhani Mwenyezi Mungu alivyonibariki na hizi Tunu (.Shani ) Kuu Nne ( 4 ) za 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hadi akina OKW BOBAN SUNZU wananichukia na Kunionea Wivu alikosea?Leo wamebadiri jezi tu wamebondwa... we mwamba naanza kukuamini sasa
Thanks Chief.Hats off to Gentamycine
Katika hizo mechi 49 zote walivaa jezi nyeusi?Leo wamebadiri jezi tu wamebondwa... we mwamba naanza kukuamini sasa
yanga wanavaa jezi za njano miaka na mikaka"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.
Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu
Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?
Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.
Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.
Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.
Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Mganga wao atakuwa Gadiel Michael MbagaUtopolo wanyang'anywe point kwenye mechi zote walizovaa jezi nyeusi.. haiwezekani timu inavaa jezi kwa kufuata masharti ya mganga
Ni Mpumbavu Wewe tu uliyebakia ndiyo ulikuwa hulijui hilo.yanga wanavaa jezi za njano miaka na mikaka