Huku mkewe akisota gerezani, miss TZ aolewa na mume wa jack patrick

kuangalia mkato wa chumba

siku izi umbea hamna, naona mastaa mwaka huu wameamua kuokoka, looh wambea sasa ivi sijui tutaandika nini, inabid tuanze kujichamba wenyewe sasa
 
binamu umeona eeeeh
umeona mimba ya anti ezekiel hiyoo
ndo anahangaika nayo hiyo km handbag vile
 
Back
Top Bottom