Huku mnakoita Town magari machache sana kuna vyombo vya Usafiri tu

Karibu tena tajiri [emoji38][emoji38]
 
Ndio hivyo...karibu tena
Tukupe na updates ..
sasa kuna vita inaendelea, kati ya warrussia wa buza na wa ukraine wa mbagala , hawa wametuvurugia kila kitu kimepanda bei...mafuta ya kula ni ya kupima na kijiko.....
Na nimeifufua ile Phoenix yangu na matairi mapya ila pedal bado za katambuga....
 
inamaana bosi hajui kama wese limepanda bei...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…