Huku Mrusi akiendelea kuteswa na HIMARS na Storm missiles, Ujerumani wanajadili kutuma Taurus

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nimependa sana namna dunia imejitolea kuhakikisha hako kainchi ka-Ukraine kamejilinda dhidi ya udhulumaji wa Urusi, madubwana yametumwa na kufanya Urusi ikose hamu kabisa ya hivi vita. HIMARS bado zinatesa balaa huku storm shadows zikipenya.
Wajerumani wanajadili kutuma Taurus, ni aina ya kombora ambalo hupaa bila kugunduliwa na mifumo ya kiulinzi, na hupasua kila aina ya ngome, yana uwezo wa kuchana anga kilomita 500km, na linafumua kila kitu na kuacha majanga......

===========================
he German government is in talks with arms manufacturer MBDA regarding alterations to the programming of Taurus cruise missiles before their potential delivery to Ukraine, a source told Reuters news agency on Friday, confirming an earlier report by Germany's Der Spiegel newsmagazine.

Kyiv has been pushing Berlin to supply it with the Taurus, a cruise missile with a range of more than 500 kilometers (300 miles) that is launched by fighter jets such as the Tornado, the F-15 or the F-18.

While the UK and France have sent Storm Shadow and Scalp cruise missiles to Ukraine, Germany has been reluctant amid concerns that the weapon could be used on targets in Russia.

The United States has also refrained from sending its Army Tactical Missile System (ATACMS) to Ukraine.
 
Urusi lazima achalazwe anyooke ajue adabu ya kuwa na nguvu dhidi ya majiorani. Haina maana kuwa ukiwa na nguvu dhidi ya majirani zako basi una haki ya kwenda kuwakojolea na kuwapaka kinyesi wakati wowote. Lazima Urusi itarudi kuwa 3rd world kwa kosa hilo; ni swala la muda tu. Nilisoma jana kuwa huko Siberia walikuwa wanajaribu kufufua vifaru vilivyoachwa enzi za USSR ambavyo havijawahi kutestiwa kwa takriban miaka 30 sasa; kwa hiyo vitakuwa na kutu na hata injini zake zitakuwa zinatoa moshi sana kiasi cha kuonekana haraka na kutunguliwa kirahisi tu
 
We baki na ndoto Mrusi anazidi kuteka ardhi ya Ukraine kila kukicha na hakuna hata ardhi Ukraine walio komboa na mwisho wa yote Ukraine atalazimika akubali masharti yote ya Mrusi.
 
Subiri. No one can outrun a bullet. Urusi mbinu yao ni kubomoa miundo mbinu ya kiraia kwa kutokea mbali, Ukarine mbinu yao ni miundo mbinu za kijeshi kama kuwaua askari wengi sana wa urusi waliovamia pamoja na meli za kivita. Miundo mbinu ya kiraia na miundo mbinu ya kijeshi ni kipi zaidi.
 
Subiri. No one can outrun a bullet. Urusi mbainu yao ni kubomoa miundo mbinu ya kiraia kwa kutokea mbali, Ukarine mbinu yao ni miundo mbinu za kijeshi kama kuwaua askari wengi sana wa urusi waliovamiapmojs ns meli za kivita. Miundo mbinu ya kiraia na miundo mbinu ya kijeshi ni kipi zaidi.
Yani kupiga tugorofa pale Moscow au kuripua meli tatu ndio utashinda vita we jiulize kwanini kila kukicha US, UK, German, France na nchi zingine wanatuma silaha hizo silaha walizo tuma siwaingeisha komboa hata mji mmoa alio uchukua Mrusi 😂 Silaha za NATO zote zimeisha kuwa majivu afu we unasema Ukraine ana vamia miundo mbinu za kijeshi labda za kurusha drone kupiga gorofa moja afu anapigwa kama mtoto 😂
 
We baki na ndoto Mrusi anazidi kuteka ardhi ya Ukraine kila kukicha na hakuna hata ardhi Ukraine walio komboa na mwisho wa yote Ukraine atalazimika akubali masharti yote ya Mrusi.
kimsingi hii vita kiboro dinda kafeli sana, alisema ataipiga ukraine ndani ya wiki lkn saiz tunakaribia mwaka wa pili
hasara kubwa ambazo putin kapata

-kaexpose jeshi lake, institute of wars za nchi kadhaa wanazichunguza military tactics zao daily pia wengi wamesema jeshi la urusi la kichumba sana
-kaongeza maadui binafsi nchini kwake, saiz jamaa hana aman kabisa maana jeshi lake na wafanyabiiashara wengi hawamtaki kabisa
-kafanya majiran wajiunge NATO, hana cha kuwafanya maana aliwatisha lkn wanajiunga na mkia wake umefyata
#kimsingi vita amefeli sana na yeye anajua lkn sabab ya aibu na ujinga ameanza kupiga raia badala ya jeshi la ukraine. urusi ni kubwa mno ukiringanisha na mpinzan ilibidi vita amalize ndan ya wiki2 tu
 
Yani kupiga tugorofa pale Moscow au kuripua meli tatu ndio utashinda vita we jiulize kwanini kila kukicha US, UK, German, France na nchi zingine wanatuma silaha hizo silaha walizo tuma siwaingeisha komboa hata mji mmoa alio uchukua Mrusi 😂 Silaha za NATO zote zimeisha kuwa majivu afu we unasema Ukraine ana vamia miundo mbinu za kijeshi labda za kurusha drone kupiga gorofa moja afu anapigwa kama mtoto 😂
Mji gani umetekwa tena na Urusi jaman!!

Kherson si ilirudi mkono mwa Ukraine au unazungumzia Cremea!!?

Kubomoa magorofa ndo kutokea mbali na miundo mbinu ya umeme na maji ndo kuteka!????
 
😂 hivi we unaota lini kaukomboa tazama hio file nimekuwekea uone ukweli hakuna hata mji Ukraine kaukomboa. Afu mimi nakuliza swali Ukraine ana satellite? Ni Nato ndio wanamuelekeza na wanajeshi wangapi wa US na Uingereza na Poland, German na Faransa wamekufa Ukraine? Afu nyie bakieni mnasema Ukraine anapigana na Mrusi 😂
 
Attachments

  • Screenshot_20230812-104557_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230812-104557_Samsung Internet.jpg
    208.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom