Huku Mwanza usikivu wa TBC Taifa na Bongo FM sio mzuri

Huku Mwanza usikivu wa TBC Taifa na Bongo FM sio mzuri

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Huku Mwanza ni zaidi ya wiki,

Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote.

Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
 
Umejaribu live kule youtube,au ndio tusikupangie matumizi ya bando lako.
 
Back
Top Bottom