fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,699 Reaction score 9,323 Jul 22, 2025 #1 Huku Mwanza ni zaidi ya wiki, Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote. Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
Huku Mwanza ni zaidi ya wiki, Matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM yanakatika katika na tunawaambia hawachukui hatua yoyote. Hebu rekebisheni matangazo yenu,hivi hamuoni aibu.
Superficial JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 336 Reaction score 731 Jul 22, 2025 #2 Umejaribu live kule youtube,au ndio tusikupangie matumizi ya bando lako.