GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo..
.
“ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho zaidi ya kumi na kufunga magoli zaidi ya kumi ktk msimu.
Lakini ukiangalia wengi wanavyocheza ni kama hawakua na matayarisho binafsi ya akili tangu mwanzo wa msimu ambayo yangewawezesha kujitoa na kujituma zaidi kwa maendelo yao binafsi na timu”. - Zahera akiongea na waandishi wa habari leo.
Chanzo Taarifa: yangawhatsapp makaomakuu 25/10/2019
Kazi mnayoijua huko Mkoani Mwanza sasa ni ya ‘ Kuroga ‘ tu na si ya Kuiandaa Timu Kisayansi zaidi. Mtawajua hasa Waarabu!