Huku ni kujidhalilisha

Nadhani yupo mazingira ya beach, shida ni kuweka mtandaoni au shida ni mavazi yake?

Ila Tunda na wewe fanya ukate tumbo daah mbona kitambi unakiacha hivyo?
 
Huyu mtoto inabidi akutane na wavuta bangi...kama alivokua ray c
 
mam wa mtoto mbeleni hulo, haya maswala huwa yanatesa mbeleni sana sema watu tunachukulia poa kwakuwa leo tupo hapa tunaona hapa , mbeleni unaona mwana anafanya hivyo ukimkataza anakwambi mbona we ulifanya?????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…