Huku ni kujidhalilisha

Huku ni kujidhalilisha

Nadhani yupo mazingira ya beach, shida ni kuweka mtandaoni au shida ni mavazi yake?

Ila Tunda na wewe fanya ukate tumbo daah mbona kitambi unakiacha hivyo?
 
mam wa mtoto mbeleni hulo, haya maswala huwa yanatesa mbeleni sana sema watu tunachukulia poa kwakuwa leo tupo hapa tunaona hapa , mbeleni unaona mwana anafanya hivyo ukimkataza anakwambi mbona we ulifanya?????????????
 
Back
Top Bottom