Walikuwepo na wala hawakumuelewa, isitoshe hawana muda wa kutafakari yanayotokea, ushirikishwaji haupo tena, ni watu kadhaa wenye personal interest wanakaa na maswahiba wao wanapanga wanachotaka kiwe, "who is behind this evil move"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Serikali iliyofail inapambana na wananchi wa hali chini inalinda matajiri waneemeke zaidi sasa naona nawewe umeenza kufail tena mapema sana.
Nchi hii bado hakuna wa kuandamana.kama hujipendi au huipendi familia yako sogeza kidevu chako barabarani utanyolewe ndevu zako kwa chupa.
Hakuna Bunge pale kuna vilaza walioingizwa kwa ajili ya kumuandalia mwendazake utawala wa milele ni vile tu Corona ime intercept hii move haramu na ya kishetani.kodi hii imepitishwa na BUNGE letu tukufu, wabunge walio chaguliwa kihalali ambao wamewakilisha mawazo ya watanzania wote kwa manufaa ya watanzania wote, kodi hii lazima tuilipe, wapuuzi wachache wasitusumbue wala wasituharibie malengo yetu kama hawataki waende wakaishi ubeligiji.
Huyo aliye waaminisha kwamba matajiri ndio waendeshe nchi huku nyie mnaonjiita wanyonge mkiendelea kuzaliana kama simbilisi wakati huo huo mnahitaji maji safi, hospitali ma daktari na dawa , walimu na madarasa umeme nk. Barabara nzuri nk. Huyo ndiye aliye watia ujinga vichwani mwenu na ndio maana hao matajiri unao waongelea wewe walianza kuikimbia nchi na kuhamisha biashara zao maana mzigo ulikuwa unawaelemea sasa sijui baada ya hapo kingefuata nini? Bora mungu alitenda.Mh Rais Samia hichi ulichotuletea cha ada ya ya kizalendo hatuitaki.
Huku ni kuwaumiza wananchi wenye uchumi wa chini maana ndiyo watumiaji wakubwa wa hizi huduma ulizotuongezea! Mwenzio alipambana na matajiri ili wananchi wenye hali tete tupumue lakini wewe unakuja kutubana sisi ili wao wapumue?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Serikali iliyofail inapambana na wananchi wa hali chini inalinda matajiri waneemeke zaidi sasa naona nawewe umeenza kufail tena mapema sana.
Sasa hatutapeleka hela zetu bank wala kuweka kwenye mitandao! Tutakaanazo ndani.
View attachment 1854493