wakenya kwa kifupi hamtuwezi, mlijaribu kidogo sana wakati tukiwa buzy na ukombozi wa kusini mwa bara la afrika sasa tuna nafasi na muda wa kutosha wa kupambana na walaghai wa kibiashara na uchumi kama nyie STAY ON
Kuna ule msemo flani wa nyani akishindwa kupanda mgomba, hulaumu...........
Hiyo sababu uliotumia ni sababu ya kivivu sana, Kila siku hua nchi za 3rd world ziko na changamoto kibao,
.. hivi unajua kwenye scandal ya ufisadi za angloleasing wakati rais Moi na Goldenberg Scandal , robo yani 25% ya uchumi wa Kenya iliibiwa?
Hivi unajua kuna ukame mkali uliotokea miaka ya 90's ambao ulikaa mwa miaka mitano, na ndani ya hio miaka mitano, kenya ilipoteza 50% ya wanyama ikiwemo ngombe, ngamia, mbuzi...nk?
Mmekua mkidanganya sana, vita vyote ambavyo Tanzania ilijihusisha viliisha kabla 1970, vita na Uganda viliisha kabla ya 1980s..... Ikifika by 2000 Tz haikua inajihusisha na vita vyovyote vikubwa ambavyo vingedhuru uchumi wake, kwa mfano kule comoros mlilipiwa na France na Lybia....
Ukiangalia hii historical comparizon ya GDP ya Kenya na TZ, inadhihirisha Kenya haikua imeachwa pazuri na wakoloni kama vile watz hupenda kusema, by 1970 uchumi wa kenya ulikua $2.5B na wa Tz ulikua $2.4B.... almost equal
ikifika 1990, uchumi wa Kenya ulikua mara dufu uchumi wa TZ.... Baada ya hapo Ukame mkali na ufisadi ukamaliza uchumi wa kenya hadi tulipoingia 2000 Tanzania tena ilikua imekaribiaa kupita KEnya.. Sisi tukiwa $14.5B na nyinyi mkiwa $13B.... Tokea hapo Tanzania haijawahi kua na vita vyovyote vikali, sisi tumekua na post election violence ya 1997, post election violence ya 2007 ambayo ndo ilikua mbaya zaidi kihistoria..... uvamizi wa Somalia 2011,ambao unatugarimu $80M kila mwaka , Mashambulizi ya kigaidi ambayo yamesababisha watalii kupungua na wawekezaji kua na hofu..... Licha ya hayo yote gap ya GDP kati ya Kenya na TZ inazidi kuongezeka!
2010 gap ilikua $10B, tukiendelea hivyo hivyo by 2030 gap itakua imefika $25B