Acha upoyoyo Sisi hatukuzuia sukari kutoka Zanzibar ila tulizuia sukari kutoka uarabuni na Brazil inayoingia kupitia mlango wa ZanzibarMambo mengi tu, yaani kwa kifupi huu muungano ni jina tu na chochote chaweza kutokea tukauvunja.
Kumbuka Tanzania juzi ilikua inawazingua Waganda kwenye sukari yao. Hiyo hiyo Tanzania iliwabania Wazanzibari kwa hilo hilo la sukari.
KENYANS are so arrogant, kwa wachache niliofanikiwa kukutana nao kikazi ni poor minded sana, na ndiyo maana wanafanya uhuni wakidhani Tanzania tutakaa kimyaKwenye upande wa bidhaa nyie si ndo mlianzisha hayo ya utalii yashajadiliwa yakaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ushamba wewe, sisi hatukuzuia sukari toka Zanzibar bali sukari kutoka brazili etc, zanzibar ni sehemu ya Tanzania, tutazuia bidhaa kutoka sehemu moja ya nchi kwemnda nyingine? acheni ushamba wakenyaMambo mengi tu, yaani kwa kifupi huu muungano ni jina tu na chochote chaweza kutokea tukauvunja.
Kumbuka Tanzania juzi ilikua inawazingua Waganda kwenye sukari yao. Hiyo hiyo Tanzania iliwabania Wazanzibari kwa hilo hilo la sukari.
kenya mpaka sasa hawana uhuru wa kiuchumi, kijeshi wala kijamii .Mambo mengi ya kenya katika nyanja nilizozitaja hapa bado wanatawaliwa na west na mbaya zaidi hawajajitambua bado. Uchumi wa kenya sector nyingi muhimu za kiuchumi, jeshi na jamii zina milikiwa na westerners (wale MAUMAU iliyokuwa inawapinga na kudai uhuru kutoka kwao) mfano wakenya hawana uhuru wa kumiliki ardhi wamebaki kuwa vibarua tuUhusiano mbovu wa Kenya na Tz ulianza toka kipindi cha Kenyatta na nyerere.kwa sasa tutakuwa tunapaka mafuta kwa mgongo wa chupa but ukweli ni kuwa sisi ni maadui wa kihistoria na tutakuwa hivyo vizazi na vizazi.
But ukweli mwingine no kuwa sisi tupo mbele kwa karibu ya kila kitu zaidi ya kenya-sisi tutaendelea kuwa baba ktk ukanda huuu na Kenya wataendelea kuwa watoto always kama ilivyo kuwa toka enzi za akina nyerere na kenyatta
mkuu mimi ni witness ya haya mambo, KEBS wamekuwa wasumbufu sana kuruhusu bidhaa za kutoka Tanzania kuingia Kenya. Kuna mzigo naufahamu ulikaa pale border Zaidi ya mwezi eti KEBS wanapima ubora tena. kwa hiyo retaliation ya TBS ni sahihi na mie naunga mkono, kama unawawekea wenzio figisu figisu kwa nini na wao tusiwawekee figisu figisu.Tuna kichaa AKA kivuruge Ikulu aliyevuruga mazuri yote aliyoyakuta kati ya Tanzania na Kenya.
Acha upoyoyo Sisi hatukuzuia sukari kutoka Zanzibar ila tulizuia sukari kutoka uarabuni na Brazil inayoingia kupitia mlango wa Zanzibar
Sent using Jamii Forums mobile app
ringia utajiri wa mzungu mjinga wewe, na unaweza ukawa kibarua wa kiwanda cha mloweziNdio zenu kuzuia zuia kwa vijisababu vya kutunga, kesho mtajikuta mnajizuia hata haki zenu kwenye ndoa.....
Huu muungano mumechelewesha mambo mengi sana, mnataka kila siku mburuzwe, Burundi kajitia ujinga wa kuwaskliza imemuacha kwenye hali ya umaskini wa kufa mtu maana nyie na umaskini ni ndugu tena wa mama mmoja baba mmoja.
Kama nyie mgekuwa mnaundugu na matajiri mmefaidika nini maana kwa umasikini uliopo kibera na pande za turkana unafikiri maishi jehanam.Ndio zenu kuzuia zuia kwa vijisababu vya kutunga, kesho mtajikuta mnajizuia hata haki zenu kwenye ndoa.....
Huu muungano mumechelewesha mambo mengi sana, mnataka kila siku mburuzwe, Burundi kajitia ujinga wa kuwaskliza imemuacha kwenye hali ya umaskini wa kufa mtu maana nyie na umaskini ni ndugu tena wa mama mmoja baba mmoja.
endelea kuotaSasa Mbona unalazimisha mambo?, nimekuambia Tanzania biashara tunayoifanya SADC ni mara tatu ya ile tunayoifanya EAC, lazima tuthamini zaidi SADC kuliko EAC.
Kuhusu migogoro ndani ya SADC, yote inasuluhishwa ndani ya SADC, kwasababu tunaishi kama ndugu, hujawahi kuvuka hatua ya kushutumiana nchi moja kutaka kupindua nchi nyingine kama ilivyo Burundi na Rwanda au Rwanda na Uganda.
Ukiacha Malawi na Tanzania, hakuna mgogoro mwengine wowote ndani ya SADC unaohusisha mipaka, Wewe ni mwongo mkubwa sana. Angola na DRC hawana ugomvi. CAR haipo SADC Ndio sababu sijataja Kenya na Somalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inafurahisha pale watanzania wakijaribu kuhusisha uhusiano wa kihistoria na nchi zengine kwa biashara inayofanywa na wanabiashara wa sasa....Sisi hatutegemei EAC kama Kenya, sisi tulishajenga mahusiano mazuri na ndugu zetu wa damu wa kusini mwa Africa, sasa hivi tunafurahia mahusiano hayo, tunafanya biashara halali na kubwa Sana na nchi za SADC, mwaka Jana tulipata faida ya $445M, mwaka huu tunategemea kufikia $600M, ninyi mliojitenga na ukombozi wa Vita vya ukombozi wa Africa, nendeni mkafanye biashara na EU, sisi hatutaki kufanya biashara na wasaliti wa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ule msemo flani wa nyani akishindwa kupanda mgomba, hulaumu...........wakenya kwa kifupi hamtuwezi, mlijaribu kidogo sana wakati tukiwa buzy na ukombozi wa kusini mwa bara la afrika sasa tuna nafasi na muda wa kutosha wa kupambana na walaghai wa kibiashara na uchumi kama nyie STAY ON
yaliandia hapo kwa utalii ndo sasa yamefika kwa bidhaa za kawaidaKwenye upande wa bidhaa nyie si ndo mlianzisha hayo ya utalii yashajadiliwa yakaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu uhuru Kenyatta anaenda kuwasuluhisha m7 na Kagame.. wakati yy mwenyewe ana limgogoro na bongoland
Wewe vipi?, hatuangalii volume of trade, what matters is balance of trade, I am sure you don't know the difference between volume of trade and balance of trade that's why you are talking like kid.Huwa inafurahisha pale watanzania wakijaribu kuhusisha uhusiano wa kihistoria na nchi zengine kwa biashara inayofanywa na wanabiashara wa sasa....
Yani kampuni ya kichina ikifungua kiwanda Tz, ... hooo, uhusiano mzuri kati ya nyerere na blah blah blah
Rais wa SA akitua Tz kwa ziara rasmi, hoo ukombozi wa Africca kusini... blah blah
Reality Check..... Tanzanias inter-sadc trade with all SADC countries amounts to 1.517 Billion USD, while trade between Kenya and Uganda is $1.3B!!!!
You sell goods worth $447M more to SADC than you buy from SADC and you call that balance of trade?????Wewe vipi?, hatuangalii volume of trade, what matters is balance of trade, I am sure you don't know the difference between volume of trade and balance of trade that's why you are talking like kid.
The volume of trade between China and Kenya is ten times bigger than between Kenya and Uganda, but balance of trade between Kenya and Uganda is ten times better than that of Kenya and China.
Tanzania we do enjoy very good balance of trade in SADC, compare to EAC. We recorded positive balance of trade of $447M in SADC last year, and positive balance of trade of $135M in EAC. What you quoted is volume of trade which is a general term doesn't show any meaningful information.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ngoja nikufundishe kidogo, katika biashara kitu muhumi ni faida, faida hupatikana Baada ya kutoa manunuzi toka katika mauzo. Hiyo ndio inaitwa balance of trade.You sell goods worth $447M more to SADC than you buy from SADC and you call that balance of trade?????
Compare that with Kenya vs Uganda where in 2017 Kenya exported $650m while importing $570m from Uganda.... Thats what you call balance!
BTW Volume of trade is very much meaningfull in this conversation since it looks at the gereneral voolume of trade.....
Yani all the trade between the 16 Sadc members and Tz is almost equal to the volume of trade between Uganda and Kenya