koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF.
Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi Eric Otogo Castane kwa kuchezesha chini ya kiwango kwenye mchezo wao dhidi ya Wydad AC.
Horoya wanalalamika kuwa mwamuzi huyo aliwanyima penati 2 za wazi na hawataki kumuona kwenye mchezo ujao.
Katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ulikamilika kwa timu zote kuytoshana nguvu kwa kutoka na suluhu ya 0-0,
My take
kutoa complain nijambo la kawaida na ndio maana kikawepo chombo kwaajr ya kutatua matatizo so jambo alilo lifanya simba ni jambo la kwaida