Huku Simba wakiwa wametinga CAF, kisa mwamuzi, klabu nyingine yatinga CAFkwa kesi ya kugomea maamuzi

koboG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
2,763
Reaction score
5,167
BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF.

Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi Eric Otogo Castane kwa kuchezesha chini ya kiwango kwenye mchezo wao dhidi ya Wydad AC.

Horoya wanalalamika kuwa mwamuzi huyo aliwanyima penati 2 za wazi na hawataki kumuona kwenye mchezo ujao.
eric.jpg

Katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ulikamilika kwa timu zote kuytoshana nguvu kwa kutoka na suluhu ya 0-0,
My take
kutoa complain nijambo la kawaida na ndio maana kikawepo chombo kwaajr ya kutatua matatizo so jambo alilo lifanya simba ni jambo la kwaida
 
Kwa Africa inawezekana na ndio maana wametoa tahadhil mapema
Unashangaa nini?Kwa CAF inawezekana. Refa kutoka Gabon alichezesha Taifa Stars na Uganda Cranes nyumbani na ugenini. Kwa CAF kuna madudu chungu nzima hivyo inawezekana.
 
Kwanini unasema hawataki kumuona ktk mchezo ujao??,kwani refa huwa anachezesha nyumbani na ugenini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Africa inawezekana na ndio maana wametoa tahadhil mapema
Unashangaa nini?Kwa CAF inawezekana. Refa kutoka Gabon alichezesha Taifa Stars na Uganda Cranes nyumbani na ugenini. Kwa CAF kuna madudu chungu nzima hivyo inawezekana.
Soka la Africa lina vimbwanga ambavyo nje ya hili bara huwezi kuvikuta! Bado tunakua Safari ni ndefu
 
BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF.

Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi Eric Otogo Castane kwa kuchezesha chini ya kiwango kwenye mchezo wao dhidi ya Wydad AC.

Horoya wanalalamika kuwa mwamuzi huyo aliwanyima penati 2 za wazi na hawataki kumuona kwenye mchezo ujao.
View attachment 1066986
Katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ulikamilika kwa timu zote kuytoshana nguvu kwa kutoka na suluhu ya 0-0,
My take
kutoa complain nijambo la kawaida na ndio maana kikawepo chombo kwaajr ya kutatua matatizo so jambo alilo lifanya simba ni jambo la kwaida

Lakini Horoya wanalalamikia kitu kilichotokea sio Simba wanaolalamikia kwa dhana kuna kitu kitatokea.
 
Ila siomba kutoamalala miko yao kwasabau hata ikitokea akaachwa ili kuamua hiyo game bado maamuzi atakayo yafanya yatakua mazur kwa sababu hata taka Kuonyesha kua hajuii na hii nimoja wapo ya faida watakayo ipata simba maamuz yata kua Free and fair kabsa so bado hakuna madhara yoyote watakayo yapata simba
 
... ni kweli TP Mazembe wahonge refa ili kumfunga Simba? Simba hiihii iliyocheza fyongo uwanja wa nyumbani, mchezaji hata kulenga goli hawezi anapaisha mpira juu?
 
BAADA ya klabu ya Simba kutinga kwenye Shirikisho la Soka la Mpira Afrika (CAF) wakihitaji kupewa mwongozo kwa nini wamebadilishiwa mwamuzi wa mchezo wao klabu ya Horoya AC kutoka Guinea wametuma malalamiko yao kwa shirikisho la soka CAF.

Horoya wametuma malalamiko yao wakimshtumu mwamuzi Eric Otogo Castane kwa kuchezesha chini ya kiwango kwenye mchezo wao dhidi ya Wydad AC.

Horoya wanalalamika kuwa mwamuzi huyo aliwanyima penati 2 za wazi na hawataki kumuona kwenye mchezo ujao.
View attachment 1066986
Katika mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ulikamilika kwa timu zote kuytoshana nguvu kwa kutoka na suluhu ya 0-0,
My take
kutoa complain nijambo la kawaida na ndio maana kikawepo chombo kwaajr ya kutatua matatizo so jambo alilo lifanya simba ni jambo la kwaida
Refa anakuwa na linesman. Sasa Kama refa hakuona hizo penalti na linesman hakuona vilevile?
 
... ni kweli TP Mazembe wahonge refa ili kumfunga Simba? Simba hiihii iliyocheza fyongo uwanja wa nyumbani, mchezaji hata kulenga goli hawezi anapaisha mpira juu?
Mkuu kulenga goli unafikiri ni kazi rahisi...muulize aliyepiga penati mechi ya yanga na ndanda ndo atakwambia kama kulenga goli kazi rahisi au laa
 
Back
Top Bottom