Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?

TANESCO TANESCO TANESCO
Nilipo hapa Jijini Mwanza nilipo kimatembezi ndio wamekata saa 12:049j jioni. CCM oyeee!!!
 
Mbezi Temboni had Kwa Musuguli,chal saa hz
 
Toka
Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?

TANESCO TANESCO TANESCO
SAA 10 hola
 
Fursa nzuri ya kuuza mishumaa ndio hii kwa wafanyabiashara
Mishumaa ni lazima iuzike maana siku hizi watu hawapendelei mafuta ya taa na chemli
Sisi tangu wamekata saa12 asubuhi mpaka sasa holaaa
Poleni sana
...Toka Saa Kuni na Mbili jioni Hadi Sasa, huku ngoma Draw! Giza totoroo...!! [emoji35][emoji35][emoji35]
Duh poleni huku saa 12 ulirudi
Mie wasiwasi wangu ni kuhusu iyo treni ya umeme,cjui utawashwa kwa umeme upi,
Muda ni msema kweli ngoja muda utatoa majibu
Na hivi wamepewa miezi 6 ndo tutakoma
Acha tuisome namba
 
huku hawakati
Wapi huko?
Nilipo hapa Jijini Mwanza nilipo kimatembezi ndio wamekata saa 12:049j jioni. CCM oyeee!!!
Oyeee kazi iendelee
Hawa mbwa wame kata leo saa 11 asubh wakat ndo kwanza nachomeka pasi ninyooshe nguo .[emoji28][emoji28]na awaja leta hadi saivi
😂 poleni sana
Bora tanesco angepewa mwarabu khaaa
Mwarabu si hamtaki apewe chochote?
 
Back
Top Bottom