Huku Tanzania kukiwa na ruhusa ya kula kwa urefu wa kamba, Hiki ndicho kinaendelea kwa Kagame, Naiona Rwanda mbali baada ya miaka 20

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Mbali na staili yake ya uongozi wa kimabavu lakini kwenye hili hatuna budi kumpa tiki kubwa sana.

Kuna nchi nyingi Afrika zinazoongozwa kimabavu na chache zinazojitahidi demokrasia lakini bado kuna tatizo kubwa sana la ufisadi na rushwa. Rwanda, chini ya uongozi wa Rais Kagame, imeweza kusimama imara dhidi ya janga hili. Mfumo wake wa nidhamu kali umeleta mafanikio makubwa katika kupambana na ufisadi — jambo ambalo mataifa mengi bado yanahangaika nalo.

Mtu mrefu hacheki na kuku, hivi hayo mashindano ya dunia ya waendesha bike yanaisha lini, nashangaa mashindano makubwa hayajatangazwa sana, ukizingatia yamefanyika kwa mara kwanza Afrika.
 
Yametangwazwa sana na vyombo vikubwa duniani, sema vyombo vya bongo viko busy na akina Zai hivyo kama ni mskilizaji mzuri wa radio za Tanzanis sio rahisi kusikia mambo ya maana kama hayo.
 
Professionalism is EVERYTHING.

Sisi tumekosa profesionalism, kila jambo tunalofanya tunalifanya kisiasa.

Kila jambo utasikia "Asante mama, kafanya mama, yani mama mama mama nyiiingiii".

Kila mtu kwenye taifa yuko busy kum-please mama, hatufanyi mambo inavyotakiwa bali anavyotaka mama.
 
Ujinga mtupu yani
 
Hili limekita mizizi kiasi kwamba kama hujui ku kiss someone's azz hiyo cake ya taifa utaishia kuisikia tuu.
 
Yametangwazwa sana na vyombo vikubwa duniani, sema vyombo vya bongo viko busy na akina Zai hivyo kama ni mskilizaji mzuri wa radio za Tanzanis sio rahisi kusikia mambo ya maana kama hayo.
Aisee nilishangaa sana, kuna mzee akasema yaani Africa tumelala doro hayo mashindano yangetumika kuitangaza East Africa na returns yake ingekuwa kubwa sema ndio hivo.
 
Una uhakika baada ya hiyo miaka 20 Kagame atakuwa hai na anatawala? Likija suala la kuhesabu nchi siriasi na zenye future tafadhali usiihesabu Rwanda.
 
Asiihesabu kwa kuwa huyo kagame hatakuwa hai au wewee unayo sababu ya kuona hicho unachokiona after hiyo 20 yrs?
 
Back
Top Bottom