K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Oct 18, 2010 #1 Mtu anaweza kufa hivi hivi kwa mambo kama haya !!! Attachments HII VITA-JAMII.jpg 30.7 KB · Views: 165
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 822 Oct 18, 2010 #2 si-hasa hizo...! nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Oct 18, 2010 #3 Huyo ameumia kweli au? maana CCM ni wazee wa ghilba au alifumaniwa, anakuja kuleta ulalamishi kwenye siasa..:biggrin1:
Huyo ameumia kweli au? maana CCM ni wazee wa ghilba au alifumaniwa, anakuja kuleta ulalamishi kwenye siasa..:biggrin1:
M mbea Member Joined Oct 12, 2010 Posts 97 Reaction score 1 Oct 18, 2010 #4 Hapo mbona kigugumizi!Kwavile aliyelambwa jiwe ni ccm hakuna tatizo hila angekuwa mpinzani pangechimbika!ujinga mtupu,Kuna maisha baada ya uchaguzi-Zitto Kabwe.
Hapo mbona kigugumizi!Kwavile aliyelambwa jiwe ni ccm hakuna tatizo hila angekuwa mpinzani pangechimbika!ujinga mtupu,Kuna maisha baada ya uchaguzi-Zitto Kabwe.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Oct 18, 2010 #5 Duh!kumbe green guard nao wanaumia!kweli vita havina macho!
WABUSH JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 285 Reaction score 4 Oct 18, 2010 #6 si-hasa hizo...! nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:<!-- google_ad_section_end --> U made me burst
si-hasa hizo...! nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:<!-- google_ad_section_end --> U made me burst
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Oct 18, 2010 #7 Kwa jinsi wadanganyika tulivyokuwa na uchungu na inchi yetu huko ndio tunapoelekea mkigeuza matokeo?
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Oct 18, 2010 #8 huo ni utamu tu wa siasa katika kampeini, sasa ikija kamwaga damu je?