Huku tunapokwenda sasa hakufai

Huku tunapokwenda sasa hakufai

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Mtu anaweza kufa hivi hivi kwa mambo kama haya !!!
 

Attachments

  • HII VITA-JAMII.jpg
    HII VITA-JAMII.jpg
    30.7 KB · Views: 165
si-hasa hizo...!

nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:
 
Huyo ameumia kweli au? maana CCM ni wazee wa ghilba au alifumaniwa, anakuja kuleta ulalamishi kwenye siasa..:biggrin1:
 
Hapo mbona kigugumizi!Kwavile aliyelambwa jiwe ni ccm hakuna tatizo hila angekuwa mpinzani pangechimbika!ujinga mtupu,Kuna maisha baada ya uchaguzi-Zitto Kabwe.
 
Duh!kumbe green guard nao wanaumia!kweli vita havina macho!
 
si-hasa hizo...!

nasikia mwana sisiem halisi hutoa DAMU YA KIJANI..! :biggrin1::biggrin1:<!-- google_ad_section_end -->


U made me burst
 
Kwa jinsi wadanganyika tulivyokuwa na uchungu na inchi yetu huko ndio tunapoelekea mkigeuza matokeo?
 
huo ni utamu tu wa siasa katika kampeini, sasa ikija kamwaga damu je?
 
Back
Top Bottom