Huku Urusi wakiendelea kuugulia mapigo ya HIMARS na Storm Shadows, sasa zinakuja ATACM

Huku Urusi wakiendelea kuugulia mapigo ya HIMARS na Storm Shadows, sasa zinakuja ATACM

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ikumbukwe HIMARS ndio zilisababisha mkondo wa vita ubadilishwe, mvamizi Urusi akawa mtorokaji, sasa zinakuja ATACM zenye uwezo mkubwa mara kadhaa kuzidi HIMARS.......

RUSSIA could face debilitating missile strikes deep within their territory as Ukraine is set to receive game-changing American MGM-140 ATACM missiles.

The missiles are three times faster than the deadly Storm Shadow missiles - which are responsible for some of the most devastating strikes on Putin's troops.
The missiles can be equipped with a 500lb warhead
4
The missiles can be equipped with a 500lb warheadCredit: Alamy
DD-MAP-missile-radius-1-1.jpg


The ATACMS (Army Tactical Missile Systems) missiles can be equipped with an astounding 500lb warhead, and cover 190miles in just five minutes.

With speeds of 2,300mph, they can be used for precise strikes on the front lines in record amounts of time.

They can also carry hundreds of smaller "bomblets", which can deal a devastating blow to large areas.

The missiles are pricy, however, costing an astounding £1.3million each, and weighing roughly 3,600lbs.

 
Kiufupi malengo ya Putin huko Ukraine (Kuingia Kyv,Kumtoa Raisi zennesky madarakani,aliyechaguliwa na wananchi)Yalishafeli , special ops ilishafeli kitambo.Anachokifanya Putin ni kujaribu Kulipiza Kisasi kwa kipondo alichokipata huko Ukraine.Na hajui lini lengo hili la Kulipiza Kisasi litatimia🤔
......
 
Dikteta Putin ni sawa na mtu aliyening'inia kwenye mti na mwisho mikono itachoka na ataachia tu na kudondoka chini.🤣🤣🤣
 
Mkuu tangu hizo silaha zije ni maeneo mangapi yaliyotekwa na Russia yamerudishwa Ukraine?
Hizo silaha hazitabadilisha cho chote kwenye Uwanja wa vita ila zitarefusha muda wa mapigano na kuzidisha maafa tu!
Changamoto inayopata Ukraine tangu vita ianze imepoteza wapiganaji wake wengi na sasa inaandikisha raia wake wasio na ujuzi ambao wanaishia kuuawa!
Na wale wananaoipa silaha (nchi za NATO)wanaogopa kupeleka wanajeshi wao kwenye uwanja wa vita kwa kuhofia watauawa.
Kwa hiyo NATO wanamwaga silaha zao kwa watu wasio na ujuzi wa kutosha kuzitumia na silaha nyingi zimeharibiwa kwenye mapigano.
Russia ina wanajeshi wenye uzoefu kwenye uwanja wa vita,na haijapoteza wanajeshi wengi kulinganisha na Ukraine.
Sana sana inapambana na teknolojia ya kujikinga na silaha hizo zinazotumwa Ukraine!

Mimi naomba Vita hiyo iishe Russia na Ukraine zikae pamoja zimalize tofauti zao na Amani ipatikane!
 
Back
Top Bottom