Huku vifaru vikipelekwa Ukraine. Zelensky asema anataka ndege na mizinga ya masafa marefu

Huku vifaru vikipelekwa Ukraine. Zelensky asema anataka ndege na mizinga ya masafa marefu

Huyu Japan anapaswa apigwe nuclear na putin ili akili imkae sawa, maana ile ya USA haijatosha kudhibiti hicho kiherehere chake cha Kupenda kuingilia magomvi yasiomhusu
Jinga sana yule. Mtu aliyekupiga nyuklia halafu unashirikiana naye kuleta maangamizi mengine. Angemnunia mpaka mwisho wa dunia.
 
Huyo zele haombi hizo silaha wala hapewi bure... huyo anatumika tu kujifanya anaomba lakini ukweli ni kwamba NATO huo ni mpango wao wa muda mrefu kutaka kuiangamiza russia wakitumia ardhi ya Ukraine.. kwa bahati mbaya kwao ni kwamba mpango wao hautaweza fanikiwa kutokana na nguvu kubwa aliyonayo urusi..
Unajua vema
 
Daah Urusi anasumbuka vita na omba omba kweli tulidanganywa sana...wacha tuendelee kuangalia hii movie
 
Rudi ukaandike story za mapenzi tu.
Huyu Japan anapaswa apigwe nuclear na putin ili akili imkae sawa, maana ile ya USA haijatosha kudhibiti hicho kiherehere chake cha Kupenda kuingilia magomvi yasiomhusu
 
Huyu Japan anapaswa apigwe nuclear na putin ili akili imkae sawa, maana ile ya USA haijatosha kudhibiti hicho kiherehere chake cha Kupenda kuingilia magomvi yasiomhusu
Apewe Satan moja chap chap 🤣
 
Daah Urusi anasumbuka vita na omba omba kweli tulidanganywa sana...wacha tuendelee kuangalia hii movie
Urusi hataki kumaliza stock yake ya silaha za maana. Ndio maana anatumia zaidi drones na masilaha mengine ya kuazima kwa washirika
 
Urusi hataki kumaliza stock yake ya silaha za maana. Ndio maana anatumia zaidi drones na masilaha mengine ya kuazima kwa washirika
Haipo hiyo kitu kwenye Vita Mkuu wanajeshi wake wanakufa na kutekwa hovyo tunaona wakibadilishana mateka humu bado mnaendelea kutudanganya kama zile Sera za Chama tawala mkiamini wote ni mazuzu aisee muwe mnatuomba msamaha kwa maandishi haya...
 
Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni vifari vya Leopard kutoka Ujerumani na Abrahms kutoka Marekani.

Hata hivyo muda mfupi baada ya kuahidiwa silaha hizo raisi huyo wa Ukraine aliyewahi kuwa muigizaji mahiri amesema kinachotakiwa hasa ni ndege za kisada za kivita kutoka mataifa hayo na makombora ya masafa marefu kuliko HIMARS.

Kauli hiyo imekuja wakati pia nchi hiyo imetoa tamko rasmi la kuondoa askari wake kutoka Soledar ambako jeshi hilo lililshindea kuudhibiti mji huo baada ya kipigo cha Urusi jambo ambalo pia Ukraine ililikanusha mara kadhaa baada ya tangazo la Urusi.

Wakati huo huo aliyekuwa waziri mkuu wa Japan bw.Mori ameishutumu nchi yake kwa kutoa umuhimu mkubwa wa kuisadia Ukraine katika vita vyake ambavyo alisema wala Urusi haiwezi kushindwa kamwe katika vita hivyo.
Vifaa vyote anavyoomba vinaenda kudundwa, karibia mtamsikia anaomba meli
 
Back
Top Bottom