Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo tayari wameshapata mafunzo yake.
Kwa upande wake Urusi sasa imeanza kufanya kweli kuhusu tishio lake la nyuklia kwa mataifa ya NATO baada ya kufanya mazoezi yanayohusisha silaha hizo na kwa mara ya mwanza kusitisha ushirikiano wote na Marekani kwa kuacha kupeana taarifa ya silaha hizo kama ilivyo kawaida.
Mwandishi wa kirusi Dmitry Muratov ambaye amewahi kupata tunzo ya Nobel na baadae gazeti lake kufungiwa na serikali ya Urusi kutoka mafichoni amesema tishio hilo la nyuklia la Urusi si la kupuuzwa.Haijulikani muda
Putin anaweza akabonyeza kitufe chake,