Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Sasa masuala ya ujamaa yanaingia ingiaje kwenye masuala ya vita - nani kakwabia kwa mfano: kwamba Urusi bado ni taifa la kijamaa??Vitisho tu hivyo kama kawaida ya nchi zote za ujamaa usiwe na shaka,NATO wenyewe wana nuclear kibao labda naye Putin na watu wake wamechoka kuishi.
Sasa kama NATO wana uwezo wa kivita na silaha za kinuclear kwa nini mpaka sasa wanasita kuingia vita ya ana kwa ana na Urusi, badala yake wanaitumia taifa la Ukraine lipigane a proxy war on USA/NATOs behalf - mataifa karibu 51 yanajaribu kuipiga Urusi wakitumia mgongo wa Ukraine Taifa ambalo viongozi wake hawajitambuhi badala yake wanatumiwa na mabeberu kirahisi sana kutekeleza malengo yao dhidi ya Taifa la Urusi, ndio maana mpaka sasa njama za mabeberu zinaelekea kushindwa vibaya sana.