Huku vifaru vikiwasili Ukraine na Urusi yafungulia nyuklia

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258

Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo tayari wameshapata mafunzo yake.
Kwa upande wake Urusi sasa imeanza kufanya kweli kuhusu tishio lake la nyuklia kwa mataifa ya NATO baada ya kufanya mazoezi yanayohusisha silaha hizo na kwa mara ya mwanza kusitisha ushirikiano wote na Marekani kwa kuacha kupeana taarifa ya silaha hizo kama ilivyo kawaida.
Mwandishi wa kirusi Dmitry Muratov ambaye amewahi kupata tunzo ya Nobel na baadae gazeti lake kufungiwa na serikali ya Urusi kutoka mafichoni amesema tishio hilo la nyuklia la Urusi si la kupuuzwa.Haijulikani muda
Putin anaweza akabonyeza kitufe chake,
 
Hivi urusi mpaka sasa amwwashawatumilisha ulaya na marekani mabilioni mangapi?
 
Katika vita vya miaka ya karibuni hakuna nchi iliyopoteza wanajeshi wengi kama Urusi.....
Mrusi kapoteza maharamia ukraine kapoteza wanajeshi........ Asilimia kubwa ya wapiganaji wa urusi ni hao maharamia wa wagner..... Jeshi la urusi linatoa usaidizi kwenye nyanja zingine na anaweka wanajeshi wake maeneo waliyoyakomboa tayari
 
Ni kweli nguvu ndogo lkn ndo hao hao wanaofanya nchi za kibepari kila siku kufanya harambe ya silaha,,
Mkuu,ili ujue uwezo wa nchi moja tu ya NATO zipigwe Urusi na Marekani ndio utajua unachozungumza sio sahihi,kwa kumbu kumbu tu Russia alitoa sana msaada kwa Iraq ilipovamiwa na Marekani lakini bado ndani ya miezi michache sana utawala wa Iraq ulidondoka,sasa huyu supa pawa feki kuchukua tu kimji cha bakhmut imemchukua karibia mwaka na tena kipo uani kwake.
 
 Kwani shida iko wapi vifaru vilivyotengenezwa muda kutumika umushafika hata nuclear iliyotengenezwa muda wa kutumika umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…