Huku viongozi wa CCM wakizidi kutakata na kushereheke miaka 45 ya chama chao, Watanzania wanazidi kuteseka na umasikini

Kila nikiangalia hivo visima nakumbuka dogo Rayan wa Morocco.
 
Kuna kipindi hili pandikizi huwa linakuja na hoja ya msingi.
 
Kosa kubwa ambalo serikali ilifanya ni kuruhusu vyama vya siasa kumiliki Mali za umma!!walilea ufisadi bila kujua!!nikiingia madarakani hakuna chama kitamiliki Mali binafsi zote zitakuwa za serikali kila chama kitahudumiwa kutokana na mahitaji yake muhimu tu!!na vyote vitakuwa chini yamalesi na uangalizi wa serikali ya jamuhuri ya muungano na ofisi zao zote za makao makuu zitajengwa Dodoma pale!!hapo tutaondoa ufisadi ndani ya vyama na serikali!!!na wanachama waadilifu watapatikana!!
 
Huyo ni Kada mbobezi wa Chama cha Mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…