Huku wenzao wakiendelea kutetema tetema, wanariadha wa Kenya waibuka kidedea kule London(IAAF Diamond League 2019)

Huku wenzao wakiendelea kutetema tetema, wanariadha wa Kenya waibuka kidedea kule London(IAAF Diamond League 2019)

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Kama kawa kama dawa. Wanariadha wa Kenya wameng'aa kule London Stadium, U.K., kwenye mchuano wa IAAF 10th Leg Diamond League 2019. Hii ni baada ya wakenya kunyakua nafasi 8 kwenye top 10 ya mbio za 5,000m kwa kina dada.
49101be5-e3a2-4217-9e76-52c47d3530a4.jpg
Helen Obiri alinyakua nafasi ya kwanza akifatwa kwa karibu na Agnes Tirop(2) kisha Margaret Kipkemboi(4). Alafu Caroline Kipkirui(5), Cherono(6), Chebet(7), Rengeruk(8), na Kite(9).
5d3477763a77d.png
Yaani ilikuwa ni mwendo wa; [emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139]. Wanaume nao hawakuachwa nyuma, siku ya kwanza ya mchuano huo walifanya yao pia. Kwenye mbio za 800m.
images
Ferguson Rotich alishikilia nafasi ya kwanza na Wyclife Kinyamal akawa wa pili. Kenya hoyeeeee!!!
 
Jana timu yenu ya rugby ilichapwa [emoji23][emoji23][emoji23] mbona hujapost
 
Jana timu yenu ya rugby ilichapwa [emoji23][emoji23][emoji23] mbona hujapost
Tangulia kwa kupost kuhusu timu yenu ya raga ilivogaragazana, alafu na mimi pia nitafanya haki. 😎
 
Labda ni nilotes wa Ethiopia, maanake nilotes wa Tz wamebobea tu kwenye shughuli ovyo ovyo kama za kula chipsi mayai.

Wanariadha wa Ethiopia ni Oromo (Cushites). Onyesha Msapere kwenye washindi hapo maana nyie ndiyo mnaongoza kwa chuki dhidi ya makabila mengine.
 
Back
Top Bottom