Huku wenzao wakiendelea kutetema tetema, wanariadha wa Kenya waibuka kidedea kule London(IAAF Diamond League 2019)

Wakalenjin na Nilotes oyeeee, hamna Mkenya hapo.
Obiri - Mkissi (Bantu) ever had of Samuel Wanjiru and Catherine Ndereba??? Hao ni wasapere.... David Rudisha - Maasai. Ni bidii tu kaka hakuna cha kalenjin wala nini!!!
 
Why majority of them are Kalenjins then? It's related to their DNA, bidii peke yake haitoshi.
 
Majority but not all. Rudisha is a Maasai...... There are Maasai’s in TZ right?? Mbona hatuwaskii. So how do you explain Rugby, Volleyball, Basketball, hockey et all Wacha nisitaje football kwa Leo!!! ...... Ama hizo pia ni genes??? Jambo ni rire rire 😀😀😀😀.... bidii.
 
Wanariadha wa Ethiopia ni Oromo (Cushites). Onyesha Msapere kwenye washindi hapo maana nyie ndiyo mnaongoza kwa chuki dhidi ya makabila mengine.
Boss, comment yako hii ni ya kikabila dhidi ya wakikuyu, kwenye mada kuhusu michezo! Aisee. Hebu nikutajie champions watatu tu, kati ya wanariadha wengine wengi kutoka ukikuyuni. Alafu wewe nawe pia unitajie mkolomije mwenzako, hata mmoja tu, mwanariadha mashuhuri duniani. Kuna watu kama Doughlas Wakiihuri, Catherine Ndereba, Samuel Wanjiru.
 
Boss, comment yako hii ni ya kikabila dhidi ya wakikuyu, kwenye mada kuhusu michezo! Aisee. Hebu nikutajie champions watatu tu kati wanariadha wengine wengi kutoka ukikuyuni. Alafu wewe nawe pia unitajie mkolomije mwenzako, hata mmoja tu, mwanariadha mashuhuri duniani. Kuna watu kama Doughlas Wakiihuri, Catherine Ndereba, Samuel Wanjiru.
Ongeza na Hawa dada wawili wa Malkia strikers!!! Wacu na Wanja!!
1563822950886.jpeg
1563823030109.jpeg
 
Why majority of them are Kalenjins then? It's related to their DNA, bidii peke yake haitoshi.
Long before Kalejins became dominant in Athletics Kikuyus had already made exploits in the field.
Famous athletes in 60s 70s and 80s were mostly Kikuyus.
Dauglous waikihuri won the first Olympic Gold medal in Marathon yet he was not a Kalejin.
 
Boss, comment yako hii ni ya kikabila dhidi ya wakikuyu, kwenye mada kuhusu michezo! Aisee. Hebu nikutajie champions watatu tu, kati ya wanariadha wengine wengi kutoka ukikuyuni. Alafu wewe nawe pia unitajie mkolomije mwenzako, hata mmoja tu, mwanariadha mashuhuri duniani. Kuna watu kama Doughlas Wakiihuri, Catherine Ndereba, Samuel Wanjiru.

Hao ni negligible, huwezi kulinganisha na akina Kip... na Chep...
Anyway, ukweli unaujua ila umeamua kubisha tu. Alamsiki.
 
Majority but not all. Rudisha is a Maasai...... There are Maasai’s in TZ right?? Mbona hatuwaskii. So how do you explain Rugby, Volleyball, Basketball, hockey et all Wacha nisitaje football kwa Leo!!! ...... Ama hizo pia ni genes??? Jambo ni rire rire 😀😀😀😀.... bidii.

Huwezi kutenganisha marathon na Wakalenjin. Nyie Wakikuyu ni chuki na wizi tu. Kwenye soka lenu ni Waluo na Waluhya.
Hata Wakalenjin wa Uganda huwa wanashinda marathon pia.
 
Long before Kalejins became dominant in Athletics Kikuyus had already made exploits in the field.
Famous athletes in 60s 70s and 80s were mostly Kikuyus.
Dauglous waikihuri won the first Olympic Gold medal in Marathon yet he was not a Kalejin.

Leta idadi ya Wasapere na Wakalenjin waliowahi kushinda marathon tulinganishe.
Mnatamani mngekuwa nyie ndio mnashinda ila DNA yenu imejaa chuki, ugomvi na wizi.
 
Huwezi kutenganisha marathon na Wakalenjin. Nyie Wakikuyu ni chuki na wizi tu. Kwenye soka lenu ni Waluo na Waluhya.
Hata Wakalenjin wa Uganda huwa wanashinda marathon pia.
Sie wakikuyu🧐🧐🧐? Okay sawa na nyie wasukuma? Which sport are you good at? Ama genes ziliwakataaa???
 
Nani kakwambia mimi Msukuma? 😳 😳

Alamsiki!!
 
Nani kakwambia mimi Msukuma? 😳 😳

Alamsiki!!
Same way you assumed that all Kenyans are Kikuyus...... now you know better!!! Don engage in cheap nonsensical tribal stereotyping!!
 
Hehehe kwani kuna mkikuyu ambaye alikunyang'anya mrembo? Mbona uko na machungu dhidi yao.
Leta idadi ya Wasapere na Wakalenjin waliowahi kushinda marathon tulinganishe.
Mnatamani mngekuwa nyie ndio mnashinda ila DNA yenu imejaa chuki, ugomvi na wizi.
 
Hehehe kwani kuna mkikuyu ambaye alikunyang'anya mrembo? Mbona uko na machungu dhidi yao.

Tunachangamsha kijiwe tu usiogope sana. Hapa kwenyewe nipo na demu Msapere wa kutokea Murang'a anaitwa Wanjiku aka Shiko 😀
 
Eeee...si unapenda sana story za vijiweni...eti aka shiko..ndio eti tukuamini...
Endelea kuitwa baby mtandaoni tu na kupewa nicknames...ile siku utaingia kumi na nane unatolewa figo...we ona unapendwa tu..wakati mwenzio kaona hela
Tunachangamsha kijiwe tu usiogope sana. Hapa kwenyewe nipo na demu Msapere wa kutokea Murang'a anaitwa Wanjiku aka Shiko 😀
 
Boss, comment yako hii ni ya kikabila dhidi ya wakikuyu, kwenye mada kuhusu michezo! Aisee. Hebu nikutajie champions watatu tu, kati ya wanariadha wengine wengi kutoka ukikuyuni. Alafu wewe nawe pia unitajie mkolomije mwenzako, hata mmoja tu, mwanariadha mashuhuri duniani. Kuna watu kama Doughlas Wakiihuri, Catherine Ndereba, Samuel Wanjiru.
Daughlas Wakihuri wherever you are "SALUTE"
 
Hao ni negligible, huwezi kulinganisha na akina Kip... na Chep...
Anyway, ukweli unaujua ila umeamua kubisha tu. Alamsiki.
Wewe jamaa una ogofya na huo ukabila wako. Wakalenjin wamekuwa dorminant miaka ya hivi majuzi na wamebobea kweli kweli, hilo halina ubishi. Ila kuna wanariadha wengine wengi kutoka kwa makabila mengine ya Kenya. Cha msingi ni kwamba wanariadha hao wote ni wakenya na wameipa nchi yao ya Kenya sifa tele kwa kujituma kwao. Usidhani wamefanikiwa kibahati bahati, nyuma yao kuna A.K.(Athletics Kenya). Shirika ambalo limefanikiwa kuwakuza wanariadha wa Kenya na pia mfumo, na sera pia, ya michezo mashuleni imechangia pakubwa. Ambapo wanafunzi wote Kenya huwa wanashirikishwa kwenye riadha. Ukiona vyaelea, jua vimeundwa na hamna haja ya kuingiza propaganda na porojo kwenye masuala simpo kama michezo. Keep it easy man, na ukabali kwamba kwenye kila jambo kuna wale ambao watawazidi wenzao.
 
Riadha ni mchezo wa njaa kama nimeshiba nakimbiza upepo wa nini nakaa zangu jukwani na angalia wenye njaa wanavyo kimbia
Wewe hapo ndio una njaa. Hellen Obiri, ambaye ameibuka mshindi kwenye mbio za 5,000m na akavunja rekodi ya Diamond League ataenda nyumbani na prize money, kitita cha hela takriban $130,000. $30,000 za kuqualify kwenye nafasi ya kwanza. $50,000 za kuibuka mshindi kwenye fainali na bonus ya $50,000 kwa kuvunja rekodi ya Diamond League(5,000m). Alafu mwezi Agosti utamuona tena kwenye Diamond League kule Australia. >>>https://www.diamondleague.com/rules/
 
Back
Top Bottom