Huku wote ni matajiri?

Huku wote ni matajiri?

Labda watakuwa wanakudanganya wewe

Njoo jukwa la ajira na ule uzi wa sensa utatukuta tuko nao tunagombania magoli
Wakati anayegombania jana aliandika uzi kua KAZI BILA MILIONI 3 KWA MWEZI HAFANYI[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Mi nawachora tu wakati umetoka kumuelekeza mtu namna ya kutuma maombi
Unavuka majukwaa Machache mara paap unakutana nae anaandika vijana tujiajiri tuachane na kazi za utumwa
 
Ili usishushe heshima yake unaamua kumkalia kimya tu sio[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Back
Top Bottom