Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Labda watakuwa wanakudanganya wewe
Njoo jukwa la ajira na ule uzi wa sensa utatukuta tuko nao tunagombania magoli
Wakati anayegombania jana aliandika uzi kua KAZI BILA MILIONI 3 KWA MWEZI HAFANYI[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]Labda watakuwa wanakudanganya wewe
Njoo jukwa la ajira na ule uzi wa sensa utatukuta tuko nao tunagombania magoli
Mi nawachora tu wakati umetoka kumuelekeza mtu namna ya kutuma maombiWakati anayegombania jana aliandika uzi kua KAZI BILA MILIONI 3 KWA MWEZI HAFANYI[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Ili usishushe heshima yake unaamua kumkalia kimya tu sio[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]Mi nawachora tu wakati umetoka kumuelekeza mtu namna ya kutuma maombi
Unavuka majukwaa Machache mara paap unakutana nae anaandika vijana tujiajiri tuachane na kazi za utumwa